Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

kama kweli ni wwzungu na ni maprofesheno kama ulivyo sema basi kesha fikishwa black sites watampataje? maana utendaji wa vijana wetu huku upo kimazoea mnoo
Mkuu polisi wetu lazima waanze kufanya kazi na ssikolojia ya forensic experts na si kwa saikolojia ya kutoa vipigo vya mbwa koko.
 
Ina maana unajua kabisa akiongea lazima atakosea, tunahitaji viongozi wanaojiamini mbele ya wananchi wao, of course akikosea tunamsahihisha ndio ustaarabu ulivyo.
 
Kwani Huyo kanjibai hajapatikana?
Namshauri wakimwachia arudi tu kwao GOA akale pilipili
 
Yani kutorosha mtu kwa boti ni mbinu ya kimataifa?,aisee unaishi wapi wewe,
Kiiiila siku watu wanatorosha mavitu makuuuuubwa kwa njia hii,na zinginezo,wanaingiza mizigo ya hatari fasta kila uchao,
Sijui unaongea nn ww,
 
Ina maana unajua kabisa akiongea lazima atakosea, tunahitaji viongozi wanaojiamini mbele ya wananchi wao, of course akikosea tunamsahihisha ndio ustaarabu ulivyo.
Kwa kauli hizi...nina anza kuwa na imani kuwa mnataka kuvuruga 'upatikanaji' wa Mo. Achanie, wanausalama wafanye kazi yao. Unajambo litakalowezesha kupatikana kwa mtanzania huyu wapelekee wanausalama haraka sana.
 
Naanza kuelewa,tusije skia mtu yupo somalia
 

Dah...nyie watu wengine kwa majibu bwana hamjambo tehetehteh
 
Hata sisi..roooo hajaongea maana anajua ni upuuzi mtupu ndio maana kajikalia kimya
 
Potea ww uone ata kijiji cha pili hawatajua ndo ujue kwanini yeye anatangazwa sana
 
Yani kutorosha mtu kwa boti ni mbinu ya kimataifa?,aisee unaishi wapi wewe,
Kiiiila siku watu wanatorosha mavitu makuuuuubwa kwa njia hii,na zinginezo,wanaingiza mizigo ya hatari fasta kila uchao,
Sijui unaongea nn ww,


Labda sijui lakini factor kubwa ni hela ya kuendesha huo ujambazi ndio huwa ishu kubwa. speedboat huwa ni ghali mno ilihali majambazi huwa hela zao ni za kuunga unga kabla ya kufanya tukio, ndio maana utaona huwa labda wana milioni mbili ambayo huitumia kupata Smg/Ak-47 then kuhusu magari huwa wanayateka ndio wakafanyie ujambazi. Majambazi kutumia speedboat aisee sijawahi kusikia matukio ya dizaini hii hapa nchini kwetu
 
Kwa sababu ni mfanyabiashara maarufu+young bilionaire

Ova
 
Tangu lini majambazi wakateka mtu?! Au hata kama majambazi, je unafahamu level yao ya uhalifu? Unafahamu wanatoka wapi ili wakidhi hoja yako kwamba ni majambazi wa kawaida?

Kubwa kuliko yote! Binafsi sijazungumzia suala la kwenda nchi nyingine ingawaje hilo linaweza kuwa jambo jepesi kama kufumba na kufumbua kwa kutumia njia ya bahari! Nilichosema ni kwamba, kama wanahitaji ku-deal nae kwanza kama vile kumtesa na mambo mengine kama hayo, wanaweza tu kuwa nae baharini wakitumia mashua ya kawaida ya uvuvi ili wasitiliwe mashaka na vyombo vingine vya baharini vitakavyopita jirani nao! Kwa staili hiyo, wakakaa nae huko baharini kwa siku kadhaa huku wakihama hama tu toka sehemu moja hadi nyingine huku wakijifanya ni wavuvi na wakati huo huo akina Sirro wakihangaika na mapori ya mkoa wa pwani au hata Morogoro na Lindi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…