Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ungepotea India unafikiri Wahindi wangepoteza muda na wewe? Kwanza hata kaburi la kuzikwa wangegoma kukupa. Angalia maisha yako na watu wako, huyo ni bilionea hata akifa Ukoo wake kote mpaka India hawana shida!
wanauawa maraisi watu wazito ubalozini wenye ulinzi mkali sembuse ...? ikikufika imekufika tu japo tajadhari ni njema sana
Nilivyoelewa mimi sivyo ulivyoelewa wewe so tusipangiane please...Unaweza ukathibitisha kauli hii mbele ya vyombo vya sheria..!?
Sasa wewe unatofauti gani Kamanda wa polisi aliyesema kuwa ni wazungu...hali ya kuwa watekaji walificha sura zao!!?
Wakati mwingine tusiongozwe na chuki Kwani chuki hupofusha macho na kupunguza uwezo wa akili kuchanganua mambo
mmepanga nini mkuu?Hii mmepanga
Swissme
Hahaa hata me nawaza hivi eti mana so kwa kukos hela hukoMo atakuwa ametekwa na Yanga![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]Hahaa hata me nawaza hivi eti mana so kwa kukos hela huko
mmepanga nini mkuu?
anakuja lini? natarajia hatabadili msimamo wake wa awali.Umesahau tayari ila poa tu lissu anakuja
Swissme
anakuja lini? natarajia hatabadili msimamo wake wa awali.
AiseeeKama Mo na hela zake kapotea ww ni nani usipotee unae miliki smartphone na bundle lake
umekula bangi ya wapi wewe kunijumuisha kwenye kundi ka wauwaji? fuatilia post zangu zote ili angalau ujue nipo upande upi.Mtamuuwa au Mungu anawaona
Swissme
Mbona kataja hapo na wananchi kwa ujumla hujaona?ITANGAZWE TUWASOMEE
MKILETA MAMBO YENU YA SIMBA SASA HAPO NDO MNAANZA KUBOA, INAONEKANA MNAFIKILIA TIMU YENU ZAIDI KTK HILI SUALA ZAIDI YA UTU.