Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kama wamedhibitishakutekwa kwake na kupiga risasi kuwatisha walio kuwapo hapo nini maanaake
 
Kama si wale WASIOJULIKANA atapatikana mapema mno kwani huwa hawataki kuchafuliwa hasa kwa nchi inayosema iko na amani bilionea kutekwa kipuuzi hivi.
 
na ndo maana hujatekwa sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yamezidi awamu hii lakini si kuanza awamu hii. Ulimboka alitekwa awamu hii? Hivi vitu tuvilaani kwa nguvu zote. Ombi langu kwa Mungu unaweza usilielewe lakini si lazima nieleweke. Serikali ijue tukio hili linaenda kukamilisha dhana iliyopo kwa utimilifu wake kama wasipolibeba kiweledi na kuheshimu misingi ya utu na ustawi wetu.
 
Bilionea unashindwa hata kuweka gym nyumbani kwako unaanza kukurupuka saa 11 kwenda kunukishana majasho na wenzio?!

Huwezi kuwa na mapesa yako mengi namna hiyo halafu ukose hata mlinzi mmoja mwenye silaha...Watanzania tuache kuishi kwa mazoea jamani
 
Acha kua muoga ...kuna vijamaa ni vioga halafu ni rahisi kupanic...sasa huoni katika hii habari na picha imewekwa eti tusubiri source kutoka polisi,acha kufyata mkia kama M.K
 
Sinema tuu hili, na kama ni kweli watekaji watajulikana mara moja na kukamatwa na usishangae wakakamatiwa dodoma ambako watu wa dizaini hiyo waliomfanya mbaya mbovu honorable lisu hawajapatikana hadi waleo. Magu uzibwe pancha na kilaka cha trekta
 
Kama hii ni kweli basi hatupo sala kabisa , mambo si shwari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…