Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kwa hyo unajua alipo sio?

Ningeshangaa sana kama lumumba mngeunga mkono swala la kumtafuta MO
 
Kwahiyo ndio mpaka mumteke na kumuua wakati mlikuwa na uwezo wa kufungia biashara zake na kumnyang'anya timu ya simba tu !
 
Hebu naombeni mnijuze wandugu aliyewaona wazungu waliomteka MO ni nani? Yupo wapi mpaka sasa na amesaidiaje upelelezi ili kumpata MO? msiunganishe uzi tupate mawazo tofauti nyie @moderators
Askari alirusha risasi kuelekea juu ...
 
Kweli IQ yetu iko chini.... sasa uhusiano wakutekwa na bei ya korosho ni upi?
 
Naona kila mtu atasema lake kipindi hichi...ila tujifunze kutokua wanafiki
 
Nina hisia Mo anaweza kupotea hivi hivi jumla na tusimwone tena, halafu kama kawaida yetu tutasema tunamwachia Mungu, na maisha yataendelea kama kawaida...

Baada ya hapo labda Mbowe, ama Fatma Karume ama Zitto atapatwa na jambo baya, kutekwa ama kula risasi za kutosha na hapo tutarudi tena kulaani na kutukana huko Twitter na Instagram...

Mkapa anatujua vizuri ndo maana alituita Malofa, akutuletea lofa, sasa tumekuwa malofa kuzidi 2015!
 
Acha kuwafananisha Mbowe, Zito na ujinga, Dewji siyo Mbowe wala Zito!
Yeah mbowe sio zitto na hao wawili sio MO but swali langu kwako tulianza kama masihara mara Ben saa 8,kina Dr ulimboka, kina azori sasa IMEFIKA KWA MO bilionea no 1 Tanzania tofauti yao ni hipi???Bilionea katekwa na hao wenzangu na mimi nao wametekwa tofauti hii wapi??
 
Uzuri leo hii hata mashabiki wa soka wameguswa maana wako baadhi huwa wako busy tu na maswala ya michezo huku wakikwambia habari za siasa na wanasiasa haziwahusu ila leo nao wameguswa kama walivyoguswa mashabiki wa CHADEMA kwa yanayowapata viongozi wao.

Maneno ya Lissu kuwa hakuna alie salama yanazidi kutimia na bado yatatimia zaidi mpaka tumuone Lissu kama nabii kumbe ni mtu smart.
 
Nchi ina amani, anapenda uhuru wake. Akina Trump wanajutia uhuru kama huo, hawezi kujiendesha kwenda popote anapotaka, na muda wote kazungurukwa na watu.
vipi mkuu wetu yeye anaweza kujiendesha kwenda popote?
 
wanawaza sanduku la kura tu wkt tume ni yao... Tulishawazoea wana mazingaombwe hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…