Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hahahaaa weee jamaa ndo kituko kweli,yaani Jeshi la polisi unalituma kumkamata Makonda,are you serious????
Ubongo wako unafikiria vizuri kabisaaa???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji86] ..mbavu zangu
 
Halafu wanasema kapatikana mbona hawaelezei kwa undan? Kapatikana vipi ilikuaje atekwe.. Kuna picha nimeona WhatsApp inasemekana ya mtekaji mmoja wapo jamaa Ana sura ya kihalifu kabisa
Inawezekana ana sura ya kihalifu lakni wanayo sababu ya kutupa kilicho nyuma ya utekwaji wake... Ili suala makonda anaweza kulijua kwa kuwa ni mwenye mkoa wake, yale yale kwa kutekwa Roma alitoa kauli ikawa, leo kainglia kati imekuwa.... Kunalo jambo.
 
7
 
Kweli nimeamini hamna anaweza kushindana na serikari ikiamua kufanya jambo siriasi
Upo gizani, pole sana, hata umaskini wako umetengezwa makusudi na watu ili wakutawale, Mungu hakutuumba maskini.

Wanasiasa wanaunda tatizo na kulitatuwa ili wajinga kama wewe muweze kuwasifia.

Makonda aondolewe haraka kwenye hiyo nafadi ya RC na ahojiwe na Polisi kwa jinai anazohusika nazo.
 
Walioitwa wasiojulikana kwenye tukio la kupigwa Risasi Tundu Lisu wote wamejulikana ingawa hakuna mwenye uwezo wa kuwaadhibu kibinadamu zaidi ya mungu pekee.
mkuu hebu tuishie hapo kwenye ''tumuachie mungu'' kwanza afu tuangalie hii filam ya MO itaishaje kisha tujumlishe nadhani tutapata jibu zuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…