minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Walioitwa wasiojulikana kwenye tukio la kupigwa Risasi Tundu Lisu wote wamejulikana ingawa hakuna mwenye uwezo wa kuwaadhibu kibinadamu zaidi ya mungu pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walioitwa wasiojulikana kwenye tukio la kupigwa Risasi Tundu Lisu wote wamejulikana ingawa hakuna mwenye uwezo wa kuwaadhibu kibinadamu zaidi ya mungu pekee.
Wewe unaonaje mtu akitekwa anafanyiwa nini maana swali la kitoto sana hiliHivi ukitekwa unafanyiwa nini?
Iko wazi mama.. KaribuGirl nakutafuta... pm yako iko wazi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji86] ..mbavu zanguHahahaaa weee jamaa ndo kituko kweli,yaani Jeshi la polisi unalituma kumkamata Makonda,are you serious????
Ubongo wako unafikiria vizuri kabisaaa???
Ndio maana tunasema sakata la Lissu limepangwa na serikali,otherwise wangekuwa washakamatwa hasa ukizingatia maeneo lilipotokea tukio!Kweli nimeamini hamna anaweza kushindana na serikari ikiamua kufanya jambo siriasi
Inawezekana ana sura ya kihalifu lakni wanayo sababu ya kutupa kilicho nyuma ya utekwaji wake... Ili suala makonda anaweza kulijua kwa kuwa ni mwenye mkoa wake, yale yale kwa kutekwa Roma alitoa kauli ikawa, leo kainglia kati imekuwa.... Kunalo jambo.Halafu wanasema kapatikana mbona hawaelezei kwa undan? Kapatikana vipi ilikuaje atekwe.. Kuna picha nimeona WhatsApp inasemekana ya mtekaji mmoja wapo jamaa Ana sura ya kihalifu kabisa
Nimejikuta naogopa zaidi Leo. Kama Mo anatekwa kina sisi usalama wetu ukoje? Haijalishi ametekwa Kwa sababu IPI ila ile kutekwa tu tayari ni hatari Kwa usalama wetu.
Mungu amlinde huko alipo atoke salama.
Sema hii nji bwana unaweza kuta sio wazungu wala nini likawa Kama lile tukio LA Zakaria Na Majambazi kumbe ..........
Acha kutega watu wewe.. Wakuonyeshe nini sasaaSiku wahalifu wakikamatwa wanaoneshwa live nankupigwa pigwa makofi,,tunaomba tuone live
Labda aepushe CCM kutumia pesa za umma kudhoofisha chadema na kuua upinzani na kudidimiza demokrasia nchiniAepushe nini?
Upo gizani, pole sana, hata umaskini wako umetengezwa makusudi na watu ili wakutawale, Mungu hakutuumba maskini.Kweli nimeamini hamna anaweza kushindana na serikari ikiamua kufanya jambo siriasi
Hii MovieBreaking: Mo amepatikana na wahalifu wamekamatwa, taarifa kutoka kwa RC Makonda C&P Efm
We huonagi siku hizi,,tuone kama kweli ni wadhunguAcha kutega watu wewe.. Wakuonyeshe nini sasaa
mkuu hebu tuishie hapo kwenye ''tumuachie mungu'' kwanza afu tuangalie hii filam ya MO itaishaje kisha tujumlishe nadhani tutapata jibu zuri zaidiWalioitwa wasiojulikana kwenye tukio la kupigwa Risasi Tundu Lisu wote wamejulikana ingawa hakuna mwenye uwezo wa kuwaadhibu kibinadamu zaidi ya mungu pekee.