Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Unabwabwaja tu, Rais wa Afighanstan alishafanyiwaga ambush akiwa chini ya ulinzi mkali na ni Mungu tu haikuwa siku yake ya kifo msafara wa Rais uliwakimbia Taliban.
Mbona unaongea mafi ya umbwa, Afghanistan kuna serikali? Wewe unashabikia nini, au ndio mmoja wa waliofanya huu ujinga?
 
Ana upako mkuu wa mkoa wangu kujua wanaotekwa.. Tusubiri Mambosasa akifanya tukio live LA kututangazia watekaji wa tajiri wetu Kama watataka kutuonyesha kwanza maana hawakawii kusema wataharibu uchunguzi wakituonyesha watekaji
 
Halafu wanasema kapatikana mbona hawaelezei kwa undan? Kapatikana vipi ilikuaje atekwe.. Kuna picha nimeona WhatsApp inasemekana ya mtekaji mmoja wapo jamaa Ana sura ya kihalifu kabisa
Mzungu?
 
Dont trust Mambosasa
 
Si ndo anahusika na vikundi haramu vya utekaji??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…