Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa wa Dar muda huu. Chanzo TBC1 Ukweli na uhakika. Mkuu wa mkoa ameongeza kuwa taarifa zaidi zitakuwa zikitolewa na yeye au kamanda wa polisi na si vyanzo vingine.

Updates
Kwa mujibu wa account ya Twitter ya Mtanzania Digital

Msaidizi wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema raia wema wamepiga simu kumjulisha kuwa mfanyabiashara Mohamed Dewji, amepatikana akiwa ametupwa Coco Beach, hata hivyo taarifa hizo zinafanyiwa kazi.
 
Sasa jamani hao wazungu ealiokuwa wamemteka, washahojiwa kujulikana ni raia wa nchi gani na nia yao ni nini?
Sio wazungu pengine ni mazeruzeru yaani maalibino kama Manara msemaji wa simba, sidhani kama le mutuz anaweza kuwatumia wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…