Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ila kwa nni billionaire kama Mo dewij asiwe na gym kwnye makazi yake????
Mbona mechi huangaliwa kwenye wengi watu hawaangalii kwenye tv peke yao majumbani, kwenye wengi ndipo hufanya mazoezi kwa bidii na kupata fursa ya kubadilishana maeazo na watu wengine, hata chai na chakula vipo majumbani lakini watu huenda kuchangia wenye mahoteli na migahawa.
 
HONGERA MKUU WANGU WA MKOA PAUL MAKONDA KWA JUHUDI ZAKO ZA KUMPATA MWANACHAMA MWENZETU
SIMBA NGUVU MOJAA
MAKONDA NGUVU MOJAA
Mmmmmh... kwani yy ndiyo kampata? au Sinema imeharibika baada ya kuratibiwa vibaya na Le mutuz na wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…