Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mtanzania husahau haraka sana. Wala huhitaji kuweka tukio lolote. Wacheni kukariri. Na hata asiposahau hana uwezo wa kufanya chochote.
 
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa. Yaani hadi leo hajajua umuhimu wa Jamii Forum. Kwenye zile habari za CCM na CDM naona ndo huwa anaitumia vizuri zaidi. Kumbe hajui social media ndo sehemu ya kwanza kupata taarifa, huko kwingine utazipata ukiwa tayari una zile ABC za tukio. Sometimes hata zile details za ndani unaweza usizipate kwingine lakini kwenye social media ukapata.
 
JF wapo faster kuliko chombo chochote kwa bahati nzuri humu JF vyombo vyote vya dola wamo ni wanachama wazuri hutoa taarifa bila chenga.
 
Tumeshaanza na TAZARA, Ooooh! Sorry... Ni Mfugale Bridge
 
Ngoja tusubili sitoi neno lolote
 
Something has to be done, haki ya Mungu. Ni lazima kifanyike
 
Au ni yanga wamemteka[emoji23][emoji23][emoji23]via wasiojulikana nashauri wananch tukigundua tuwauwe tuu awa wasiojulikan popot watakapo tokea kutak kufany tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…