Sasa ndio halo unajiuliza amejuaje kama ni wazungu tanzania yangu inaangamia kwa ujinga wetueti ametekwa na wazungu 2! kioja cha mambosasa
Na akisema huwa anatenda kamanda wa vita mwenyewelitatolewa tangazo kuwa mkuu atahakikisha wikend haipiti bila kupatikana
Tafasiri yako hapa ni kuwa wao serikali ndio wamemteka .. hivyo basi wasimguse hata kofi wamrudishe akiwa salamaNaiomba serikali kama inataka iendelee kuwapata wawekezaji kutoka nnje wafanye haraka kumpata Mo tena Akiwa hai na hajapata jeraha lolote
Kabisa mkuu...Hell no!Huu ni mfululizo wa matukio ya kishenzi kabisa
Watu wazito na ulinzi mkubwa, presidential details, FBI, CIA, Navy Seals, Marine na ulinzi wote kuliko hata wa malaika wanauawa sembuse Mo.Ukiwa na mlinzi huwezi kutekwa??
Hapo Sasa. Au wanamfungia sehemu hawampeleki kokotemkuu wakimfungia mahali na wakaenda zao itakuwaje?
This is too much bana...hebu mtu mmoja aongee basi tujue moja daah!nini?
hahaha, hiyo ni moja ya hofu yangu, ya pili huenda ni hujuma ya wafanyabisharaNa akisema huwa anatenda kamanda wa vita mwenyewe
Bado nasikiaKeshapatikana
Mzigua safe house ndio nnUkute wameshamficha kwenye safe house mtatafuta mpaka muimbe Hallelujah...
Nakuelewa Sana.. Nilihisi inawezekana nikuhusiana Na udalali wake. Nikahisi kazinguana Na wafanyabiashara wenzie huko. Kama ni sababu ya kutikisa soko LA korosho basi kazi ikoo