Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Wamesha rushana walahi
Kaaazi kweli kweli walahi
 
Naiomba serikali kama inataka iendelee kuwapata wawekezaji kutoka nnje wafanye haraka kumpata Mo tena Akiwa hai na hajapata jeraha lolote
Tafasiri yako hapa ni kuwa wao serikali ndio wamemteka .. hivyo basi wasimguse hata kofi wamrudishe akiwa salama
 
According to Mr. Mambosasa, three people have been arrested in connection to the incident. The police said all entry points around airports and other exit points have been closed.

Nilidhani kuimarisha ulinzi ingetosha!
Kwahiyo taratibu za kusafiri Leo kutoka Dar ni hamna au?
Can't understand this!
 
Hivi Mwarabu fighter kashapata kazi? nipatieni namba yake.
 
Baada ya msako mkali, mo dewj apatikana na watuhumiwa watiwa mbaroni.
Screenshot_2018-10-11-10-51-24.jpg
 
Nakuelewa Sana.. Nilihisi inawezekana nikuhusiana Na udalali wake. Nikahisi kazinguana Na wafanyabiashara wenzie huko. Kama ni sababu ya kutikisa soko LA korosho basi kazi ikoo

Sasa mkuu kwanini usishughulike na hawa watu by the LAW aisee?

Halafu usifanye kazi kwa kumuonea mtu,wata-react halafu watakusumbua sana utawalani....

Prz hawezi ita mtu eti akaacha kuja tu,hicho kitu hakipo....mnahisi vibaya tu....

Sema jamaa hapendi wafanyabiashara anawafanyia persecution...
 
Back
Top Bottom