Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mkuu mambo mengine kausha, utakamatwa kwa sheria ya takwimu utaambiwa idadi ya magari uliyotaja sio sahihi sasa sijui umetaja mengi au machache
 
Ana allergy Na wafanyabiashara. Lakini Kama ni yeye alikua Na sababu gani ya kumteka? Angemletea figisu tu Kama za Manji..
 
Bado walikuwa wana option nyingi tu salama. Hapa wana risk vitu vingi including biashara ya colesium ambao hawahusiki.
 
Mkuu mambo mengine kausha, utakamatwa kwa sheria ya takwimu utaambiwa idadi ya magari uliyotaja sio sahihi sasa sijui umetaja mengi au machache
Mkuu lazima tikiri Polisi mara nyingine wanaudhi sana. Wanatufanya Watanzania hatuna akili tutameza chochote watakachotuambia.
 
Uzi ghafla umekuwa zilipendwa walahi
 
Nyakati hizi za dola kuivuruga sekta binafsi na kuwafitini wafanyabiashara, labda ingekuwa vema awali ya yote tukamjua mmiliki wa Colleseum Hotel...isije ikawa ni ndugu kutoka Kanda ya Kaskazini zamu yake ya kufitinishwa na wateja wake imewadia...

Itakuwa ajabu mwovu kutokutenda uovu, ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha kuila..

Wafanyabiashara mnaojitambua, tafadhali kusanyeni viakiba vyenu na chukueni hatua! Nchi hii si salama tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…