Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Wew umejuaje km waliomtek ni serikal had useme wamfungulie mashtaka?watanzania badiliken huyo mo ni mfanyabiashar mkubwa ana maadui wengine pengine ni wenzie hao
 
RC Makonda ametoa onyo kali kwa yeyote atakayeibuka na kuanza kusambaza taarifa za uongo kuhusiana na tukio hili au kuligeuza na kulifanya mtaji wa kisiasa.
Huyu jamaa siku yakitokea matukio ambayo anahusishwa anakaa kimya, limetokea hili ambalo ni vigumu kumuhusisha anaanza kutoa kauli za kulazimisha watu kumhusisha.............
 
Na wewe unaamini ni wazungu boss?

Tangu Mzee KOVA alivyosema aliyemteka Ulimboka ni JOSHUA MALUNDI huwa siaamini taarifa za awali za polisi.

Tangu Mambosasa alivyosema askari ndio waliafyatua risasi ikampata akwilina kisha tena akakana ile taarifa kwamba waliompiga risasi akwilina ni Chadema huwa siaamini taarifa za awali za polisi.
 
#UHALIFU - Jeshi la Polisi jijini Dar Es Salaaam wanafuatilia undani wa taarifa zinazosambaa kuwa Bilionea Mohamed 'Mo' Dewji, ametekwa na watu wenye silaha katika eneo la Oysterbay leo Oktoba 11, 2018. Mohamed Dewji ni mmoja kati ya wafanyabiashara wakubwa hapa nchini Tanzania(Chanzo #AzamTV)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…