Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kumteka tajiri namba 1 Tanzania Top 10 richest people in Tanzania (orodha ya matajiri 10 Tanzania) - JamiiForums ni kutangazia ulimwengu kuwa Tanzania sio salama tena kwa wawekezaji. Na hii italeta na negative impact kwenye uchumi wetu huu wa kusuasua.

Kama Mo alikua na makosa kwanini hawakumfungulia mashtaka na kumpeleka mahakamani? Au kwanini hawakumuita kiustaarabu na kumhoji?

Hili ni kosa kubwa sana na waliolifanya wanaitaji kushighulikia ipasavyo.View attachment 894096
Wew umejuaje km waliomtek ni serikal had useme wamfungulie mashtaka?watanzania badiliken huyo mo ni mfanyabiashar mkubwa ana maadui wengine pengine ni wenzie hao
 
RC Makonda ametoa onyo kali kwa yeyote atakayeibuka na kuanza kusambaza taarifa za uongo kuhusiana na tukio hili au kuligeuza na kulifanya mtaji wa kisiasa.
Huyu jamaa siku yakitokea matukio ambayo anahusishwa anakaa kimya, limetokea hili ambalo ni vigumu kumuhusisha anaanza kutoa kauli za kulazimisha watu kumhusisha.............
 
Na wewe unaamini ni wazungu boss?

Tangu Mzee KOVA alivyosema aliyemteka Ulimboka ni JOSHUA MALUNDI huwa siaamini taarifa za awali za polisi.

Tangu Mambosasa alivyosema askari ndio waliafyatua risasi ikampata akwilina kisha tena akakana ile taarifa kwamba waliompiga risasi akwilina ni Chadema huwa siaamini taarifa za awali za polisi.
 
#UHALIFU - Jeshi la Polisi jijini Dar Es Salaaam wanafuatilia undani wa taarifa zinazosambaa kuwa Bilionea Mohamed 'Mo' Dewji, ametekwa na watu wenye silaha katika eneo la Oysterbay leo Oktoba 11, 2018. Mohamed Dewji ni mmoja kati ya wafanyabiashara wakubwa hapa nchini Tanzania(Chanzo #AzamTV)
 
Hajapatikana
Screenshot_2018-10-11-11-16-07-1.jpeg
 
Back
Top Bottom