Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ngoja tuone mkuu.. Hivi kwanini sehemu Kama Masaki hamna security cameras?? Au Dar Kwa ujumla?

ata ukiwa pesa na ukaweka taa dar nzima, wiki ijayo ujenzi wa flyover nyingine ukianza security camera zako zote zitatolewa.. maendeleo inabidi yawe ya pamoja!
 
Le mutuz anasema hawezi kupatikana mpaka watimize lengo lao kwanza ingawa Sinema imechezwa vibaya
Hawa wahuni, wanabebwa na mkuu. Wanateka wafanyabiashara
wanawalazimisha watoe hela ndefu. Mfano tajiri zacharia wa msoma.

Nasikia Ruge na Sigh. Wamelazimshwa watoe mpunga wamegoma.

Sasa sijui hela ya kununa wapinzani imeisha au hela ya sgr imekata???
 
Ni kweli kabisa, Ni lazima sisi tuseme kadri tunavyoweza, Polisi wa nchi hii habari kama hii tungeisikia kutoka kwao kesho na si leo, yawezekana wao ndio suspect sasa wanajifanya wanafuatilia, Nape alitishiwa bunduki mjini na mchana kweupe, Polisi wakasema wameshindwa kumtambua aliyemtishia, tuna Polisi hapa au maigizo ?. Umesahau ya Ulimboka, Polisi walisema nini ?
 
Wavulana Wa Kipindi Hiki Mnashida Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…