Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Unacheza na bullet wewe[emoji23] [emoji23] ...hata sterling akitekwaga anakuwa mdogo balaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha uwoga ....unamvizia tu
 
Weeee mtu akiwa amefanya gun point na upo nae close mbona unampa za uso na unamnyang'anya kabisa silaha,jeshin wanapewa mbinu za kupambana na mtu mwemye silaha ya moto, vivyo hivyo kareti unafundishwa kumkabili mtu mwenye silaha...
Labda awe mtekaji mmoja lkn kuanzia wawili na wana miguu ya kuku...huchomoki
 
UPDATE 1:

Dereva wa Uber amesema aliona watu 4 wakishuka kwenye gari dogo, wakiwa wamejifunika usoni, wakapiga risasi moja juu na kumchukua Mohammed Dewji

UPDATE 2:

RPC Lazaro Mambosasa amesema waliomteka mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo) ni wazungu wawili. Aidha, amesema msako mkubwa unafanywa kwa raia wa kigeni wote waliopo nchini kufuatia kutekwa kwa Mo Dewj
 
Reactions: Lee
Weeee mtu akiwa amefanya gun point na upo nae close mbona unampa za uso na unamnyang'anya kabisa silaha,jeshin wanapewa mbinu za kupambana na mtu mwemye silaha ya moto, vivyo hivyo kareti unafundishwa kumkabili mtu mwenye silaha...
Sio mmoja..na lengo la watekaji sio kuua..ila ukiingilia mission unakula chuma...ata wenyewe martial arts wanazijua...at a ukiwa unajua ile michezo usiingilie yasiyokuhusu man..
 
TANZANIA nchi yangu nini iki cha watu wasiojulikana kuteka watu. EHE MUNGU tunakuomba utufunulie kuwajuwa watu hawa.
Wanajulikana sasa ni kisanduku yule jamaa aliyemtolea bunduki Nape pia wengine walipigwa Risasi na mfanyabiashara kule Tarime Mara
 
Naona umesoma kwa makini ili upate pa kupinga. any way mada ya leo ni kutekwa kwa Mo. Hayo mengine tafadhar achana nayo tu.
Sasa hiyo historia yake imewekwa ya nini kama sio tuisome? Ingewekwa tu taarifa ya kutekwa kwa Mo bila historia yake, tungesoma hiyo pekee.

BTW, mpumbavu huamini kila neno bali mwenye busara huangalia aendavyo.(Mith.14:15)

Vv
 
Tattizo linalo kera ni pale mtu wa kawaida akitoweka huwa hakuna jitahada za makusudi kama hivi, media zimepamba moto vyombo vya ulinzi ndiyo usiseme a mtu walalahoi wakitoweka itaonekana demu wako ndiyo alikuteka na utakula vyuma sio mchezo
 
Labda awe mtekaji mmoja lkn kuanzia wawili na wana miguu ya kuku...huchomoki
Sijui hawa watekaji wamejiamini kumteka mtu maarufu kama yule tenda kwenye jiji lenye ulinzi mkali kama Dar.

Jamani tule hata nyasi ili nunue CCTV camera mji mzima mpaka kule Majohe na Msongola kwenye barabara za mavumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…