Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mbona tweet ya mwananchi official ilisema kabisa msaidizi wa RPC kathibitisha MO kapatikana?

Hivi sasa hiyo tweet inaonekana wameifuta ila kwa Mange Instagram ipo.

Wamejichanganya wenyewe.
Ujinga wa bashite always hujidhiirisha hata ajitahidi ku edit vipi mapicha yake bado utaonekana crystal clear [emoji23][emoji23]
 
Alijiamini nadhani alijiina kwa sababu hana makandokando kwa akajiona yupo salama.
Hili ndilo kosa linalofanywa na watanzania wengi kwa kukosa Uzalendo, Mambo kama haya yalipomtokea Roma, yakamtokea Ben Saanane, yakamtokea, Lissu, yakamtojea Daudi John wa kata ya Hananasif kindoni na yakawatokea wengine wengi yeye Billionea Mo alifanya nini, je alikemea japo kwa maneno tu? Alijiona yuko salama na kwamba hayamuhusu.

Na hiki ndicho kinaenda kuwatokea kila wasaliti wa kijamii. Social hypocrites wote kwa nyakati tofauti.

Lowasa alipokuwa ccm alishiriki uharamia wooote uliofanywa na ccm dhidi ya wapinzani, nyakati zilipofika na yeye akawa mpinzani na sasa anashughulikiwa ipasavyo, anajuta kwa kutokemea tabia zile za ki-alishabaab ambazo hakukemea akiwa huko ccm na kuziacha kuota mizizi.
 
Mbona walimkamata Zacharia?? TISS ndio wanaofanya wasieleweke ktk jamii.
 
Hili suala linaichafua nchi.
Hawaoni ubalozi wa Saudia pale Turkey unavomulikwa?
 
Na hivyo ulivyosema ni ukweli kwa 90%
 
Maliyamungu bashite??
 


Umesahau na watoto wetu wanaopotea kila kukicha!
 
😳😳😳😳...😑😑😑😑... MO..!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…