Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ninawashauri wapelelezi (Intel) wafukue hata uvunguni mwa mtandao wa Rostam Azizi na wenzake pia. Kunaweza kuwa na kitu hapa.
 
Ni swali fikirishi sana na wala silaumu najiuliza peke yangu,km diamond anapesa za kubadilishia mboga tu..anaulinzi nyumbani na popote anapotembea,vp bilionea moe?

Kwa level aliyonayo sikutegemea km angetekwa kirahisi vile...

Note:kila kitu kinatokea kwa sababu Nina imani atajifunza yeye na wengine pia.
Nina imani watamwachia akiwa salama ....Allah amlinde huko haliko....
 
Tumetangaziwa na Akina Bashite hawahawa na Baba yake kipenzi kwamba nchi yetu ni ya Amani,Akina mambo ss wametuhakikishia kwamba nchi yetu ni ya Amani na Akuna shida walinzi wa kitugani sasa?Nyerere alikua ancheza bao na wazee mitaani.
Kikwete katembea kifua mbele bila kujali kitu.
Watekaji ni Bashite na Baba yake so lazima walinzi asee.
 
Siku zote Adui yako huangalia udhaifu ulionao na kupita kwenye njia zako hasa zile nyeusi. Hili swala ni pana na sisi wananchi hatuna budi kuliacha kwa vyombo vya Intelijensia kufanya kazi yake kwa upana na kuja na majibu sahihi ili kumwokoa msichana mzuri na Kigori (Bongo) kutoka kwa mapapa wanaotaka kuivuna bikra yake kinguvu.

Lilianzia kwa mwanasiasa nguli na mashuhuri, Likatelezea kwake mmiliki kwa msanii mashuhuri mwenye mtazamo hasi na mwenendo wake na sasa kwa Mfanyabiashara mashuhuli,

Mungu mlinde kijana huyu MO na maovu yote, na pia endelea kumpigania msichana huyu mrembo mtarajiwa lulu ya dunia.
Ahsante!!!
 
Yule mfanyabiashara kule Tarime yeye aliwapiga Risasi bila msaada wa bodyguard iweje yeye ashindwe kujihami?
mtu alikua anaingia gym asee hiyo bastola angeichomeka kwwnye tracksuit maana sitegemei kama alivaa nguo ngumu,atakua alikua ndani ya track au vipensi hyo bastola unaikumbukaje?
 
ni sawa na kuingia ikulu alafu uanze kuwaza bastola..kuna sehemu ukiingia unajiamini kuna usalama kumbe hamna kitu kwa Hotel ile alomuuza MO ni mtu wa pale pale either mfanya mazoezi mwenzie au yeyote wa pale anaejua Ratiba ya Gym na muda wa MO kuingia gym....huwezi vamia BANK bila taarifa kutoka kwa watu wa ndani.
 
Utamshughulikia nani mkuu wakati ushaambiwa kuwa ni wasiyo julikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…