Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay



Hao watu wamezoea kubagua , Akitoa pesa za misaada anakuwa mtanzania mweusi na mwenzetu , Baniani kiatu chake dawa
 
Zakariya alivamiwa na watu wasiojulikana akawapiga risasi mwisho tukaambiwa walikua askari, Zakaria sasa tunasikia yuko ndani na anarudisha mali yote aliyo nunua serikalini. Mo pia ni katika wafanyabiashara walio nunua viwanda vya serikali kwa bei poa kabisa. Tusije kusikia na yeye anarudisha mali ya serikali.
 
Hivi inakuwaje watu wanapanga mipango ya utekaji na hadi inafanikiwa,wanamchukua mtu na kumpeleka kusikojulikana na usalama wapo tu,au wapo kwa ajili ya usalama wa chama cha mapinduzi kama polisi
 
“Alinunua viwanda vya nguo na mafuta vilivyokuwa vinamilikiwa na Serikali kwa bei ndogo na kuvifanya viwe na faida zaidi kwa kutumia mtindo wa kisasa wa menejimenti,” inaongeza ripoti hiyo.
Metl ina viwanda vya kutengeneza nguo na bidhaa nyingine za matumizi ya binadamu vikiwamo vyakula, sabuni na vinywaji. Pia ina mapato yanayozidi Dola 1.4 milioni za Marekani (Sh2.5 trilioni) kwa mwaka.

source: post ya kwanza ya uzi huu.
=====
Kuna ukweli juuya hili ?
 
Ni ukweli mkuu

 
Na ndio maana jiwe rafudhi yake haibadiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…