Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Haha hapo ni shida sana
 
Hii inathibitisha,jinsi ulinzi Tanzania ulivyo sifuri.yan mpk dakika hii
 
Giza limeshsingia. Zoezi la utafutaji huenda likaendelea kesho mkuu
 
CCTV tusiziamini sana wakati fulani zina-fail kuona baadhi ya matukio kama unakumbuka,zilishindwa kuona kipindi Lissu anapigwa risasi sembuse Moo
 
Mimi km bilionea namba 1 jf nakemea vikali tukio hili limenifanya nianze kukomenti na kuishi kwa hofu
 
Hivi inakuwaje watu wanapanga mipango ya utekaji na hadi inafanikiwa,wanamchukua mtu na kumpeleka kusikojulikana na usalama wapo tu,au wapo kwa ajili ya usalama wa chama cha mapinduzi kama polisi
Ikiwa walinda raia ndio wapotezaji unatarajia nini
 
Reactions: AWM
Pia kumbuka kwamba mtu mpaka kuwa tajiri lazima awe ametapeli watu wengi au kuua au kuikosea jamii kwa namna yoyote ile.(sijasema Moo ni tapeli)
 
Wewe ndugu unaelewa maana yakutekwa?
 
Kuna kipindi waziri mmoja mnene anavaa nguo kubwa aliulizwa kuhusu watu kupotea akajibu "ni watu wazima wameenda kujitafutia maisha".......nadhani Mo kaenda kujitafutia maisha muacheni akifanikiwa atarudi.
 
Pengine angechapwa shaba... bodygurd ni hoja ila ukihitajika unanaswa tu kaka... walinzi pale hotel wamesikia mlio wa risasi wakalala nyasi.
Kuna watu wagumu kuelewa halafu kwa level ya MO hawezi kuokotwa na watu wa hovyo hovyo hapa nikuunga dot
 
Kwa hiyo unafahamu nani kamteka? UJinga umezidi sasa!
 
Kuna kipindi waziri mmoja mnene anavaa nguo kubwa aliulizwa kuhusu watu kupotea akajibu "ni watu wazima wameenda kujitafutia maisha".......nadhani Mo kaenda kujitafutia maisha muacheni akifanikiwa atarudi.
Ha ha haa...kaenda kujitafutia maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…