Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Nadhani una umri mdogo wewe. Ukiongezeka umri baada ya kuishi miaka kadhaa, utajua maana ya kuishi na watu. Kama utasema kila kitu unacho au unaweza kukifanya nyumbani kwako, utaiona dunia si mahala pazuri kuishi. Hivi watu wanakwenda kuangalia mipira kwenye mikusanyiko ya watu, nyumbani kwao hawana TV? Huwezi kuishi pekee yako kama uko kisiwani hata kama una pesa nyingi.
Ni kweli kabsa nakuunga mkono kwa 100%
 
Duh!Watu wasioujulikana hao bila shaka!

Hii nchi sasa!!

Walitekwa na kupotea watu wa kawaida, tukaona ni mambo madogo.Leo wanatekwa matajjri na watu maarufu labda sasa ndio tutashituka.

Nakumbuka pia yaliompata Lissu.

Wacha tusubiri tuone nini kinaendelea tutapata picha kamili.

Kwa sasa wanaweza kuwa wanapima upepo.Pressure ikiwa kubwa,wanaweza kumwachia ikiwa mpaka sasa bado yuko salama.
Wasiyo julikana!!!!
 
Nimejiuliza swali pia, hakuwa na mguu wa kuku pia afyatulie mbali maana njema zimeibuka na silaha za moto
Hata kama anayo,we unadhani unafyatua tu hovyo hovyo??
 
Hata akifyatua hovyo hovyo si majambazi yatakimbia we nawe ni mwanaume mbona muoga hivyo
Mkuu uko serious kweli,unajua unakuwa unacheza na your life..jamaa wamekuja wamejipanga,
 
Naona sura ya uwekezaji msimbazi
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
 
Watu muwe mnawaza kwa akili sio vinginevyo,Swala sio gym kuwa kwake, kama mipango ilipangwa ni lazima wangemteka mahala popote tu,sema mnatoa hoja kwanini hana gym kwake kwa kuwa ametekwa akienda gym ya njee hiyo sio sababu maana gym ya wengi inaleta hamasa sana kuliko nyumbani ni kama kuangalia mpira nyumbani sio kama kuangalia na watu wengi kwenye bar
 
Mbona ni kawaida sana kwa Tanzania, sasa ni zamu ya mabilioner,

Mafuruki alisha kimbilia S.Africa

Bakhresa sasa yupo zake kwa ndugu zake uarabuni..

Hans Pop ndiyo kabisa hajulikani anakula upepo pande zipi
Mfuruki na Bakhresa wapo Tanzania. Don't lie. Isipokuwa Hans Pop
 
Yule mfanyabiashara kule Tarime yeye aliwapiga Risasi bila msaada wa bodyguard iweje yeye ashindwe kujihami?
Hahahaaa usiku ule Mwenyekiti CCM tarime alitwambia ni majambazi, Alfajiri yake Adam Malima akakurupuka kutwambia eti ni askari usalama walikuwa wakitekeleza majukum yao baada ya kupigwa risasi na Ccm mwenzao Zacharia.
Ikumbukwe mwezi mmoja nyuma kuna Mfanyabiashara aliokotwa kwenye gunia kualiwa ktk fukwe za victoria.
 
Back
Top Bottom