TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Dereva wa Uber ndiye alimuendesha mpaka hapo Gym!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabsa nakuunga mkono kwa 100%Nadhani una umri mdogo wewe. Ukiongezeka umri baada ya kuishi miaka kadhaa, utajua maana ya kuishi na watu. Kama utasema kila kitu unacho au unaweza kukifanya nyumbani kwako, utaiona dunia si mahala pazuri kuishi. Hivi watu wanakwenda kuangalia mipira kwenye mikusanyiko ya watu, nyumbani kwao hawana TV? Huwezi kuishi pekee yako kama uko kisiwani hata kama una pesa nyingi.
Wasiyo julikana!!!!Duh!Watu wasioujulikana hao bila shaka!
Hii nchi sasa!!
Walitekwa na kupotea watu wa kawaida, tukaona ni mambo madogo.Leo wanatekwa matajjri na watu maarufu labda sasa ndio tutashituka.
Nakumbuka pia yaliompata Lissu.
Wacha tusubiri tuone nini kinaendelea tutapata picha kamili.
Kwa sasa wanaweza kuwa wanapima upepo.Pressure ikiwa kubwa,wanaweza kumwachia ikiwa mpaka sasa bado yuko salama.
Hata kama anayo,we unadhani unafyatua tu hovyo hovyo??Nimejiuliza swali pia, hakuwa na mguu wa kuku pia afyatulie mbali maana njema zimeibuka na silaha za moto
Wasiojulikana wameanza tena...
Hata akifyatua hovyo hovyo si majambazi yatakimbia we nawe ni mwanaume mbona muoga hivyoHata kama anayo,we unadhani unafyatua tu hovyo hovyo??
Inawezekana wasiojulikana wamemaliza likizo yao wameanza kazi
NdioHiyo gari lenye plate no ya MO ndo gari lake si limepaki hapo hapo hotelini
ZipoAiseee wawahi CCTV za hapo gym mapemaaaa
Mkuu uko serious kweli,unajua unakuwa unacheza na your life..jamaa wamekuja wamejipanga,Hata akifyatua hovyo hovyo si majambazi yatakimbia we nawe ni mwanaume mbona muoga hivyo
Aisee manji ana uzoefu mkubwa sana na utawala huu, ilitakiwa kumuomba ushauri kabla hajaenda gym
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?
Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Mfuruki na Bakhresa wapo Tanzania. Don't lie. Isipokuwa Hans PopMbona ni kawaida sana kwa Tanzania, sasa ni zamu ya mabilioner,
Mafuruki alisha kimbilia S.Africa
Bakhresa sasa yupo zake kwa ndugu zake uarabuni..
Hans Pop ndiyo kabisa hajulikani anakula upepo pande zipi
Hahahaaa usiku ule Mwenyekiti CCM tarime alitwambia ni majambazi, Alfajiri yake Adam Malima akakurupuka kutwambia eti ni askari usalama walikuwa wakitekeleza majukum yao baada ya kupigwa risasi na Ccm mwenzao Zacharia.Yule mfanyabiashara kule Tarime yeye aliwapiga Risasi bila msaada wa bodyguard iweje yeye ashindwe kujihami?
Kwa kipi hasa?Watu kama hawa wanatakiwa kulindwa na nchi.
Ndio anatafuta hivyo hata humu ni sehemu mojawapo ya kupata habari.