Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Yule mfanyabiashara kule Tarime yeye aliwapiga Risasi bila msaada wa bodyguard iweje yeye ashindwe kujihami?
Sasa Mkuu watu wa Tarime na Dar si tofauti au?? na pia yule nadhani wananchi pale walikomaa akapata mwanya hapa Dar watu wakisikia hata tairi imebust wanatawanyika haraka sana sembuse risasi?
 
Kama "magenius" huko TISS wamewahi kuchemsha vichwa inabidi this time "wazichange" kisawasawa. Naiangalia kiuchumi, wawekezaji, jamii ya waasia na taswira inayoenda kukamilishwa vichwani mwa Watanzania. Rais wetu JPM nakuombea Mungu aseme na wewe ili uchukue hatua sahihi na kuokoa taswira ya Taifa letu na kama lengo ni kukuchafua "wachafue" . Tumuombee MO awe salama.
Nani kakwambia hao ni TISS??
Inaonekana kuna unalolijua wewe,tuanze na wewe ili utusaidie kujua ukweli wa jambo hili!

TISS!!!!!!!????????
 
Nimeona hii taarifa Twitter jamaa ameshapatikana.
IMG_0560.JPG
 
.
 

Attachments

  • MV5BMjA3NTA1MjgwNV5BMl5BanBnXkFtZTcwMTgyMDExNA@@._V1_SX1472_CR0,0,1472,999_AL_.jpg
    MV5BMjA3NTA1MjgwNV5BMl5BanBnXkFtZTcwMTgyMDExNA@@._V1_SX1472_CR0,0,1472,999_AL_.jpg
    164.7 KB · Views: 34
Njia pekee ya kuwakomesha wasiojulikana ni kuwatandika Risasi popote wanapojitokeza itawaogopesha waache kuonea watu.
We we, achazo habari! unaweza kuwapiga risasi kumbe alikuwemo mototo mpendwa wa mkuu ikawa balaa nchi itakalika???
 
haya kumekucha.. ngoja tuone.. watakavyojihusisha na tukio hili la MO maana tunavojua hili tukio halina tofauti na la ANTIPAS T LISSU. Sasa tuone ufatiliaji utakavyofanyika na hatimae tupate majibu kwa muda mfupi kuliko tunavotarajia.. japo kwa tukio la LISSU mpaka leo hiii hata hiyo NISSANI JEUPE halijapatikana hata ile taarifa ya camera kunyofolewa haijatolewa maelezo.
Nissan nyeupe ni ya GSM na mpigaji Risasi ni yule kisanduku makapelo aliyemnyoshea nape bunduki na waratibu wa tukio ni Le mutuz, jerry muro, Msiba boss wao Bashite na wenzao
 
Back
Top Bottom