Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

pamoja na hali yangu ya kichwa kuwa mbaya lakini mtoa mada unanizidi mbali sana
 
Sina ila kiukweli wengi tulitegemea kupata humu kama January kasema nini, zitto kasema nini, hali ya family na mengineyo.... That was the listen beauty of JF....... Sa tunayapata kwingine tu
Familia wamesema wamemuachia Mungu kuhusu Zitto na January sidhani kama matamko yao juu ya hili swala itasaidia jamaa kupatikana..
 
Kutekwa kwa Mo Dewji kutakuwa na athari nyingi sana.
Muathirika wa kwanza ni jeshi letu la polisi.

Kama tulivyoona habari za Mo zimetikisa dunia nzima, na macho ya dunia yana sikiliza kujua jeshi letu la polisi litatumia weledi gani kumpata Mo na watekaji wake.
Kwa vile watekaji inasemekana ni wazungu, hapa si tena kazi ya virungu na kutoa " kipigo cha mbwa koko" , maana watekaji ni maproffessionals, na polisi inabidi waonyeshe u proffessionalism wa hali ya juu kutatua tatizo hili.

The world is watching.
 
Kamanda wa Kanda Maalumu ya kipolisi Mambosasa ameshazungumza,
Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ameshazungumza,

Sijasikia kauli ya waziri wa mambo ya ndani Kagi Lugola ambaye ndiye mwenye dhamana ya usalama wa raia, au bado anajipanga tuendelee kusubiri.

Siyo kawaida yake.
Msaidie na kihelehele chako
 
Kifaa cha ki electronic kinachowekwa ktk mwili wa mwanadamu ama mnyama kinachosaidia Ku program matumizi vifaa kama ATM,kuwasha gari, track GPS location, monitor watoto wa shule nk. Binafsi Nina Amini kwa Mungu na science. Endapo MO anakifaa hicho mwilini mwake, anaweza patikana kwa urahisi zaidi.
WALIOMTEKA LABDA WAWE MAZEZETA ILA KAMA WAJANJA HUFIKIRIA KILA POSIBILITIES,
WATAKUWA WASHAM-SCAN
 
Kamanda wa Kanda Maalumu ya kipolisi Mambosasa ameshazungumza,
Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ameshazungumza,

Sijasikia kauli ya waziri wa mambo ya ndani Kagi Lugola ambaye ndiye mwenye dhamana ya usalama wa raia, au bado anajipanga tuendelee kusubiri.

Siyo kawaida yake.
Anaogapa kuropoka hawakumshirikisha asije akaribu/kuvuruga mpango mzima
 
Hili sakata la MO litatuletea utaalam wa aina nyingi mno.
 
Atakuwa anakula vzuri coz Roma alisema siku ya mwisho alikula ubwabwa na chicken 🍗 kama sijakosea
 
Mimi kangi lugola

Wamegeuka jina, kutoka wasiojulikana hadi kuwa "wazungu" nitawashughulikia

Back
Top Bottom