Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kabla ya kuzungumza fanya uchunguzi kwanza mkuu...

Kwa taarifa yako kama unamfahamu bilionea Jakob Juma wa kenya alitekwa na kuuawa mwaka 2016.

Marekani na ulaya matukio kama haya nanatokea sana. Hebu fuatilia matukio ya kutekwa hawa matajiri

BOBBY GREENLEASE
VIRGINIA PIPER
JOHN PAUL GETTY III
ALDO MORO na wengine wengi.
Dah! Unachekesha sana ndugu! Kwanza, nilichoandika ni hiki:
Nitajie nchi moja tu, yoyote ile ambayo tajiri wake mkubwa kuliko wote aliwahi kutekwa na saa 24 kupita bila vyombo vya dola kuwa na clue!
Umeona sasa?! Nimeuluzi richest person kwenye nchi husika! Nimeulizia Forbe's Billionnaire na sio wafanyabiashara ambao wamewahi kuwa kutekwa!
Halafu hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kutetea uhalifu...mimi sivai gwanda wala nguo za kijani mkuu.

Mimi ni mtanzania mzalendo nayefikiria kabla ya kuongea nmsilishwi na mtu najilisha.
Unaweza usiwe unatetea uhalifu lakini ukawa unatetea mfumo!! Aidha, unaweza usiwe wa kuvaa gwanda wala nguo za kijani lakini ukawa mtetezi ama wa serikali au mfumo!

Tena basi, hivi sasa Tanzania kuna tafsiri mpya ya uzalendo! Uzalendo si tena suala la kuipenda nchi yako bali suala la kuipenda na kuitetea kwa nguvu zote serikali yako! Tafsiri yetu mpya ni kwamba, uzalendo ni kutetea mfumo! Jambo la ziada! Mdogo wangu kabisa ambae ni tumbo moja! Huyu haipendi CCM hata nukta lakini humwambii lolote kuhusu Magu! Jambo lolote linaoelekea ku-downgrade utawala au mfumo wa Magu au Magu mwenyewe; mdogo wangu huyu atakuwa against nalo hata kama hoja hana!
Sasa unaoolaumu vyombo vya usalama kwa uzembe una maana gani?
Khaa! Kumbe unataka niwalaumu SUMATRA, TRA au Tume ya Haki za Binadamu kwa suala la kutekwa Mo na mamlaka kutokuwa na taarifa zozote hata baada ya saa 30 kupita?! Kama umenisoma vizuri, nimehusisha suala zima la mfumo wa ulinzi na usalama pamoja na vyombo vya dola vyenyewe! Eneo husika ni high profile area wanakoishi high profile figures!

Mkuu, unafahamu ilipo Colosseum?!

Kutokana na mazingira ya pale mtu angetarajia hata response time iwe ndani ya muda mfupi sana kwa sababu, pale walipo sio mbali sana na vituo vikubwa vifuatavyo: Oysterbay na Salendar Bridge! Si hivyo tu, kwa namna eneo lenyewe lilivyo, mtu angetarajia hata askari wa patrol wapo wa kutosha na sina shaka hata kidogo kwamba wapo wa kutosha sana!

Sasa ikiwa hadi sasa hakuna hata clue ya aina yoyote basi ina maana mfumo wa usalama upo duni! Na kama upo duni pande za Oysterbay, tena Oysterbay yenyewe along Haile Selassie, mtaa mkubwa kabisa Oyersterbay, vipi kuhusu mfumo wa kiusalama huku kwa Mtogole? NI nani wa kulaumiwa?
Unakumbuka tukio la westgate attack?

Mamia ya watu waliuawa na watu kama watatu hivi...serikali ilituma polisi, wanajeshi, mpaka makomandooo lakini hawakukamata hata mhusika mmoja
.Ndiyo nakumbuka yote hayo! Hivi kabisa unataka kulinganisha magaidi ambao wapo tayari kufa kazini na kidnapers ambao wanatarajia ujira baada ya kukamilisha kazi yao? Seriously?! Unalinganisha Magaidi walioingia sehemu kuua na wale walioenda sehemu kuteka ili hatimae watoroke?! Lakini yote kwa yote, pale Westgate Magaidi waliingia na kuweka kambi ndani kwa sababu tayari walishajiandaa kufa na hivyo hapakuwa na suala la manhunt! Hali hiyo ni tofauti kabisa na hili la Mo!
Kama hujui ni vizuri ukanyamaza kimya kuliko kuleta hisia zako kwenye mambo ya uhalisia.
Kuna kipi cha maana ulichosema cha kukufanya uhoji "kama sijui vizuri" niulize?! Kipi cha kujua vizuri hapo? Hilo la Westgate ambao lilikuwa linarushwa live au hilo la akina Mikel Obi?
Mfanyabiashara mkubwa kama Mo kutekwa sio jambo la kitoto. K7na mengi tusiyojajua its better kuwa kimyaaa. Achia vyombo vya usalama kazi yao.
Haijalishi ametekwa kwa sababu gani (kwa hoja yako kwamba kuna mengi tusiyoyajua)! Muhimu ni uwezo wa vyombo vya usalama kukabiliana na matukio kama haya! Saa 30 zimeshapita na kwa maana nyingine, kwa muda huo watekaji wameweza kufanya chochote walichokusudia! Chochote hicho kinaweza kuwa kumuua (God forbid), kuvuka nae boda hadi nje ya mipaka yetu, na kumfanyia lingine lolote lile watakalo!
Kikumbwa ni kumuombea huko aliko atoke salama.

ASANTE
Hizo ni siasa za Bible na Quran ambazo zinashindwa kuwalinda hata Masheikh, Masharifu, Mapadri, Maaskofu, Maparoko, na siku hizi nasikia kuna mitume!!! Wote hao wanategemea ulinzi wa polisi na wala sio ulinzi wa maombi au dua!

ASANTE!
 
Dah! Unachekesha sana ndugu! Kwanza, nilichoandika ni hiki:
Umeona sasa?! Nimeuluzi richest person kwenye nchi husika! Nimeulizia Forbe's Billionnaire na sio wafanyabiashara ambao wamewahi kuwa kutekwa!
Unaweza usiwe unatetea uhalifu lakini ukawa unatetea mfumo!! Aidha, unaweza usiwe wa kuvaa gwanda wala nguo za kijani lakini ukawa mtetezi ama wa serikali au mfumo!

Tena basi, hivi sasa Tanzania kuna tafsiri mpya ya uzalendo! Uzalendo si tena suala la kuipenda nchi yako bali suala la kuipenda na kuitetea kwa nguvu zote serikali yako! Tafsiri yetu mpya ni kwamba, uzalendo ni kutetea mfumo! Jambo la ziada! Mdogo wangu kabisa ambae ni tumbo moja! Huyu haipendi CCM hata nukta lakini humwambii lolote kuhusu Magu! Jambo lolote linaoelekea ku-downgrade utawala au mfumo wa Magu au Magu mwenyewe; mdogo wangu huyu atakuwa against nalo hata kama hoja hana!
Khaa! Kumbe unataka niwalaumu SUMATRA, TRA au Tume ya Haki za Binadamu kwa suala la kutekwa Mo na mamlaka kutokuwa na taarifa zozote hata baada ya saa 30 kupita?! Kama umenisoma vizuri, nimehusisha suala zima la mfumo wa ulinzi na usalama pamoja na vyombo vya dola vyenyewe! Eneo husika ni high profile area wanakoishi high profile figures!

Mkuu, unafahamu ilipo Colosseum?!

Kutokana na mazingira ya pale mtu angetarajia hata response time iwe ndani ya muda mfupi sana kwa sababu, pale walipo sio mbali sana na vituo vikubwa vifuatavyo: Oysterbay na Salendar Bridge! Si hivyo tu, kwa namna eneo lenyewe lilivyo, mtu angetarajia hata askari wa patrol wapo wa kutosha na sina shaka hata kidogo kwamba wapo wa kutosha sana!

Sasa ikiwa hadi sasa hakuna hata clue ya aina yoyote basi ina maana mfumo wa usalama upo duni! Na kama upo duni pande za Oysterbay, tena Oysterbay yenyewe along Haile Selassie, mtaa mkubwa kabisa Oyersterbay, vipi kuhusu mfumo wa kiusalama huku kwa Mtogole? NI nani wa kulaumiwa?
.Ndiyo nakumbuka yote hayo! Hivi kabisa unataka kulinganisha magaidi ambao wapo tayari kufa kazini na kidnapers ambao wanatarajia ujira baada ya kukamilisha kazi yao? Seriously?! Unalinganisha Magaidi walioingia sehemu kuua na wale walioenda sehemu kuteka ili hatimae watoroke?! Lakini yote kwa yote, pale Westgate Magaidi waliingia na kuweka kambi ndani kwa sababu tayari walishajiandaa kufa na hivyo hapakuwa na suala la manhunt! Hali hiyo ni tofauti kabisa na hili la Mo!
Kuna kipi cha maana ulichosema cha kukufanya uhoji "kama sijui vizuri" niulize?! Kipi cha kujua vizuri hapo? Hilo la Westgate ambao lilikuwa linarushwa live au hilo la akina Mikel Obi?
Haijalishi ametekwa kwa sababu gani (kwa hoja yako kwamba kuna mengi tusiyoyajua)! Muhimu ni uwezo wa vyombo vya usalama kukabiliana na matukio kama haya! Saa 30 zimeshapita na kwa maana nyingine, kwa muda huo watekaji wameweza kufanya chochote walichokusudia! Chochote hicho kinaweza kuwa kumuua (God forbid), kuvuka nae boda hadi nje ya mipaka yetu, na kumfanyia lingine lolote lile watakalo!Hizo ni siasa za Bible na Quran ambazo zinashindwa kuwalinda hata Masheikh, Masharifu, Mapadri, Maaskofu, Maparoko, na siku hizi nasikia kuna mitume!!! Wote hao wanategemea ulinzi wa polisi na wala sio ulinzi wa maombi au dua!

ASANTE!
Sasa we umejuaje kuwa hao watekaji sio magaidi? Nipe tofauti ya kaidi na mtekaji.

Halafu we unadhani kwenda kumteka mtu mkubwa kama Dewji sio suala la kujitoa mhanga kufa au kupona?

Kataa au kubali nchi nyingi za Afrika mfumo wa ulinzi na usalama haujawa mkubwa kivile ukilinganisha na nchi za ulaya au zilizoendelea.

Mhalifu wa Uingereza au marekani akija Tanzania sio rahisi kumudetect kulingana na uwezo tulionao wa tekinolojia ya usalama.

Usipende kulaumu kutoa lawama sana kuliko kuangalia aina ya uhalifu wenyewe.

Kenya ni nchi iliyoendelea katika nyanja nyingi kulinganidha na Tanzania. Lakini katika tukio la Westgate attack ilishindwa kupambana na watekaji ( magaidi) 3 walioonekana....walileta vikosi vyote vikashindwa kukamata wahusika.

Kumbuka kushindwa jambo ni uzoefu mpya. Baada ya muda kuna tukio lingine lilitokea Kenya GARISSA ATTACK wahusika walikamatwa kutokana na ushirikiano mkubwa baina ya serikali na wananchi.

ASANTE
 
October 12, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
Jiografia ya Oysterbay, Msasani Peninsula, Masaki jijini Dar es Salaam ni ngumu na rahisi pia. Kuna video nyingi youtube kuelezea mazingira ya eneo hilo lenye kuzungukwa na fukwe ndefu ya bahari ya Hindi . Mfano ni video hii :

Source: Evgueniy Nikolov
Magari ni mengi waendesha magari, mageti ya nyumba n.k yana mifumo usalama ya kurekodi video kutokana na uwezo na nyadhifa za wakazi wa eneo hilo.

Kuingia ktk eneo hilo la Peninsula ni njia / mitaa michache sana kwa gari. Na mitaa hiyo ni Kenyatta Drive, Zambia, Kaunda, Binti Saidi, Msasani Maandazi Road, Haile Sellasie na kwa kutumia boti au chombo cha majini kupitia Bahari ya Hindi.
Video peninsula ya Oysterbay Dar -es-Salaam, Tanzania

Source : Moiz Husein
MENGELENI KWETU THREAD
 
kama kweli ni wwzungu na ni maprofesheno kama ulivyo sema basi kesha fikishwa black sites watampataje? maana utendaji wa vijana wetu huku upo kimazoea mnoo
Mkuu nawe umeamini kweli ni wazungu? wakati shuhuda anasema watekaji walikuwa wamejificha uso? Huoni kama walitoa tamko haraka hara ili kutuaminisha kwamba ni wazungu siyo wao! sababu wao siyo wazungu ? hufikirii?!....
 
Shida kubwa ya WaTanzania ni kuwa kila Mtu ni mtaalamu wa kila kitu....
Wenye mamlaka wamejitengeneza kuto aminika. Usiwalaumu Watanzania kwa hilo tena inabidi ushukuru hawajavuka mipaka. Lakini ipo siku utakuja hapa kulia maana hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
bashite is behind this dirty job period! The guy is above the law....

Wapo terrorists huyu mkolomije ni terrorist aliyefuzu.
 
Usemayo ni kweli lakini tuna-assume kwamba Mo hakuwa na matatizo makubwa na utawala wa Magu. Tuna-assume huyu ni tofauti sana na yule wa Jangwani mbele ya macho ya watawala! Hata kama kuna tetesi za hapa na pale kuhusu ugomvi wa kimaslahi kati yake na serikali lakini bado ugomvi huo haujawahi kuwa wazi sana!

Kutokana na hilo, hapa tunamchukulia Mo kwa hadhi ya kuwa tajiri mkubwa kabisa nchini! Kwani angekuwa ni yule "Mtukutu" wa Jangwani watu wangeshangaa sana! Hivi sasa tayari pangekuwa na rundo la theories zinazoweza kuwa chanzo cha kutekwa kwake!
Umejuaje kama hawana ugomvi? Mo nimfanyabiashara mkubwa pengine biashara zake zinaumafia ndani yake, pengine huo umafia bosi kubwa hataki. Kuna post jamaa alipost kwamba anamdai mtu flani na Mo anasema urafiki unakaribia kufa kwa sababu ya hilo deni! Sasa kwa akili ndogo kabisa unafikiri ni nani aliye mkopa mtu kama Mo?
 
bashite is behind this dirty job period! The guy is above the law....

Wapo terrorists huyu mkolomije ni terrorist aliyefuzu.
Unaweza ukathibitisha kauli hii mbele ya vyombo vya sheria..!?
Sasa wewe unatofauti gani Kamanda wa polisi aliyesema kuwa ni wazungu...hali ya kuwa watekaji walificha sura zao!!?

Wakati mwingine tusiongozwe na chuki Kwani chuki hupofusha macho na kupunguza uwezo wa akili kuchanganua mambo
 
Wanaitwa "watu wasiojulikana " Ila Mungu muumba wa mbingu na nchi anawafahamu nina uhakika hawawezi kuteka watu daima maana kila marefu yana ncha "God will punish those criminals"
 
Nchi ya matukio ya kuwasahaulisha watanzania juu ya matumizi mabaya ya pesa zao wanazolipa kodi kutumika vibaya kuwanunua wapinzani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa huku huduma za kijamii zikizidi kudorola, wanatengeneza Matukio ili watanzania wasahau vingi vioja wanavyofanyiwa na CCM kwa sasa.[/QPoor Tanzanians!!! yaani hata ili pia msharihusisha na siasa, kila mtu ana itikadi yake lakini kuna mambo inabidi tuache mihemko ya kisiasa na kama ikiwezekana tuwe wavumilivu au labda kama utafafanua zaidi lakini sioni sabab ya kuiingiza serikali katika ili, kwa hiyo kama ela za walipa kodi zimetumika vibaya kwa kumteka Mo Dewji ndo kutawafanya watanzania wasije kuliongelea tena la pesa zao??? Ni vizuri tukafikiri mara mbili kabla ya ku-post chochote!!!!
 
Back
Top Bottom