Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Imekaajee hiii wadau aingii akilini billionaire namba 4 Africa anatekwa kama chupa ya Chai kiasi kama hiki yani hata dereva hana dah

Hivi ameshindwa kutembea na wapambe japo 4 kwenye safari zake japo kigari kimoja nyuma chengine mbele

Sema nn kumbe ukizaliwa ushuwani unajisahau kiasi hiki?

Sisi tunaotokea pangu pakavu tukiziotea aiseee naweza hata kukodi company 7 za ulinzi zinilinde nikienda bataz na totoz...

Bongo nyoso
 
Imekaajee hiii wadau aingii akilini billionaire namba 4 Africa anatekwa kama chupa ya Chai kiasi kama hiki yani hata dereva hana dah

Hivi ameshindwa kutembea na wapambe japo 4 kwenye safari zake japo kigari kimoja chuma chengine mbele

Sema nn kumbe ukizaliwa ushuwani unajisahau kiasi hiki?

Sisi tunaotokea pangu pakavu tukiziotea aiseee naweza hata kukodi company 7 za ulinzi zinilinde nikienda bataz na totoz...

Bongo nyoso
Hahahaha japo sijawahi seat ya dereva.. Mi pia nmwshangaa hana hata mabodigadi jmn anatia aibu mtu tajiri namna ile.
 
Umejuaje kama hawana ugomvi? Mo nimfanyabiashara mkubwa pengine biashara zake zinaumafia ndani yake, pengine huo umafia bosi kubwa hataki. Kuna post jamaa alipost kwamba anamdai mtu flani na Mo anasema urafiki unakaribia kufa kwa sababu ya hilo deni! Sasa kwa akili ndogo kabisa unafikiri ni nani aliye mkopa mtu kama Mo?
Hizo "pengine pengine" ndizo assumption zenyewe ambazo nami nilianza kwa kusema "tuna-assume!"
 
Imekaajee hiii wadau aingii akilini billionaire namba 4 Africa anatekwa kama chupa ya Chai kiasi kama hiki yani hata dereva hana dah

Hivi ameshindwa kutembea na wapambe japo 4 kwenye safari zake japo kigari kimoja chuma chengine mbele

Sema nn kumbe ukizaliwa ushuwani unajisahau kiasi hiki?

Sisi tunaotokea pangu pakavu tukiziotea aiseee naweza hata kukodi company 7 za ulinzi zinilinde nikienda bataz na totoz...

Bongo nyoso

Aliyekuwa akipayuka / akizoza hovyo kutwa nzima jana leo umemwona tena ' Mubashara ' katika Media au huku Majumbani mwetu katika Mitandao ya Kijamii ' akibwatuka ' hovyo na ' milonjo ' yake? Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Wewe ungepotea India unafikiri Wahindi wangepoteza muda na wewe? Kwanza hata kaburi la kuzikwa wangegoma kukupa. Angalia maisha yako na watu wako, huyo ni bilionea hata akifa Ukoo wake kote mpaka India hawana shida!
NENO WALAHI
 
MO mungu akulinde uludi salama....wanaSIMBA na wananchi wote kwa ujumla tushakukumbuka.....
 
wanauawa maraisi watu wazito ubalozini wenye ulinzi mkali sembuse ...? ikikufika imekufika tu japo tajadhari ni njema sana
 
Familia wamesema wamemuachia Mungu kuhusu Zitto na January sidhani kama matamko yao juu ya hili swala itasaidia jamaa kupatikana..

ITANGAZWE TUWASOMEE
MO mungu akulinde uludi salama....wanaSIMBA na wananchi wote kwa ujumla tushakukumbuka.....

MKILETA MAMBO YENU YA SIMBA SASA HAPO NDO MNAANZA KUBOA, INAONEKANA MNAFIKILIA TIMU YENU ZAIDI KTK HILI SUALA ZAIDI YA UTU.
 
Back
Top Bottom