Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
Wapo walio nielewaSijakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo walio nielewaSijakuelewa
M siyo lumumba wala ufpa but uhuni utakomeshwa soonKwa hyo unajua alipo sio?
Ningeshangaa sana kama lumumba mngeunga mkono swala la kumtafuta MO
Kwahiyo ndio mpaka mumteke na kumuua wakati mlikuwa na uwezo wa kufungia biashara zake na kumnyang'anya timu ya simba tu !Zao la korosho na Mazao mengi kimsingi yanahujumiwa na wahindi wakiongozwa na Mo! Mo ananunua kwa bei ndogo na kuuza kwa bei kubwa! Mkono wa serikali ukiingia masoko anayatawanya! Most wa matajiri bongo n wahuni na wanatupiga kwa ujinga Wetu!
Kuhusu sukari sisi tuna viwanda vya ndani; na lengo n watu wetu wapate ajira kwa viwanda vya ndani yeye analeta sukari guru ya viwanda vyake na anaiingiza sokoni kimagendo!
Asante; lazma nchi iendelee kwa watu kuwa wazalendo siyo wahuni! (2015-2025)! Bora kumpoteza mmoja ili mambo yaji set!
Najua mada hii ngumu kwa baadhi ya watu but kwa wenzangu wa kuangalia mambo nje ya box wamenielewa ( inside)
Askari alirusha risasi kuelekea juu ...Hebu naombeni mnijuze wandugu aliyewaona wazungu waliomteka MO ni nani? Yupo wapi mpaka sasa na amesaidiaje upelelezi ili kumpata MO? msiunganishe uzi tupate mawazo tofauti nyie @moderators
Zao la korosho na Mazao mengi kimsingi yanahujumiwa na wahindi wakiongozwa na Mo! Mo ananunua kwa bei ndogo na kuuza kwa bei kubwa! Mkono wa serikali ukiingia masoko anayatawanya! Most wa matajiri bongo n wahuni na wanatupiga kwa ujinga Wetu!
Kuhusu sukari sisi tuna viwanda vya ndani; na lengo n watu wetu wapate ajira kwa viwanda vya ndani yeye analeta sukari guru ya viwanda vyake na anaiingiza sokoni kimagendo!
Asante; lazma nchi iendelee kwa watu kuwa wazalendo siyo wahuni! (2015-2025)! Bora kumpoteza mmoja ili mambo yaji set!
Najua mada hii ngumu kwa baadhi ya watu but kwa wenzangu wa kuangalia mambo nje ya box wamenielewa ( inside)
Kweli tutasikia mengi! yaani tayari inahusishwa na msimu wa korosho? jamani ?Mpaka apatikane MO tutasikia mengi
Yeah mbowe sio zitto na hao wawili sio MO but swali langu kwako tulianza kama masihara mara Ben saa 8,kina Dr ulimboka, kina azori sasa IMEFIKA KWA MO bilionea no 1 Tanzania tofauti yao ni hipi???Bilionea katekwa na hao wenzangu na mimi nao wametekwa tofauti hii wapi??Acha kuwafananisha Mbowe, Zito na ujinga, Dewji siyo Mbowe wala Zito!
DahAskari alirusha risasi kuelekea juu ...
vipi mkuu wetu yeye anaweza kujiendesha kwenda popote?Nchi ina amani, anapenda uhuru wake. Akina Trump wanajutia uhuru kama huo, hawezi kujiendesha kwenda popote anapotaka, na muda wote kazungurukwa na watu.
wanawaza sanduku la kura tu wkt tume ni yao... Tulishawazoea wana mazingaombwe haojamii forum nalo limekuwa jukwaa la kijinga sana
maana ya biashara ni nini?
Tuanzie hapo kwanza ! wewe ulishawai kufanya biashara?
Hivi ni mfanyabiashara gani anataka asipate faida kwa biashara anayoifanya ? je Roma pia alikuwa anahujumu serikali mpaka atekwe ?
Akwilina je alikuwa na makosa gani kuuwawa kinyama ? tufike wakati tuache kuwa na chuki na watu walio fanikiwa
Mimi ningekuwa na uwezo wa kuchagua mtu wa kumteka ningechagua bosi wako tena angepigwa hadi vidole kabisa mafichoni maana amekuwa janga la taifa yeye kila mtu adui yake .
Endeleeni kumsifia ila madicteta always uwa wanaanza pole pole mwishowe ataanza kuwapoteza hata walinzi,watoa huduma na ndugu zake wa karibu endeleeni kushangilia tu!