Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni maisha tayari alikuwa nayo mkuu. Ama kweli kuishi kwingi...Msihangaike Mo kaenda kutafuta maisha...
Na hii mizaha hawataacha hadi pale kiongozi mmoja mkubwa sana atakapohifadhiwa kwa muda sehemu isiyojulikana.
Wakianzia na konda inaweza kuwa vzr zaidi
Jeshi letu lina weledi mkubwa tatizo ni wanasiasaNiswali tu nauliza tutafakari kwa pamoja kwa mujibu ya historia ya vijana wa Sirro
Dreka,
They 've got it coming!
Walianza mizaha na kupuuza kila utekaji unapotokea kwa unawahusu WAPINZANI!
Hakika mficha maradhi msiba utamwumbua!Yalikuwa yana kina Lissu,Ben,Azory,Wangwe,etc!Leo liko kwa Mo Dewji...who will be next?
Nchi yetu Tanzania is now no longer a heaven of peace! Wanasiasa na Watawala wetu ndio Chablis na sababu ya kuanza kutoweka kwa Amani ya nji hii tuliyoachiwa na Mwasisi na Baba wa Taifa letu hayati Nyerere!
Kila kunapotokea tukio baya kama hili la kutekwa na kupotea kwa Mo Dewji ni kawaida kuona Watawala wakitoa matamko ambaye mara nyingi hayana tija na mara mara nyingi ni ya kisiasa zaidi kuliko weledi na uhalisia wa tukio lenyewe!
Mfano: Ben Saanane alipotekwa na kupotea katika mazingira ya kutatanisha,mwajiri wake CHADEMA alipoanza kuhoji kupotea kwa Ben zikaingizwa siasa ya kwamba CHADEMA wenyewe ndio wanajua alipo!
Kuna watawala walidiriki kusema BEN SAANANE AMEJITEKA mwenyewe!
Lugha na matamko kama haya ni hatari sana kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu!
Azory Gwanda alitekwa na watu wasiojulikana yamesemwa mengi na Wanasiasa na Watawala!Kwamba anajua alipokwenda kwa vile alimwaga mkewe!Lakini mpaka leo hajapatikana! Tundu Lissu kapigwa risasi 38 mchana kweupe na watu wasiojulikana mpaka hawajajulikana wala hakuna mtuhumiwa hata mmoja!CHADEMA na Watanzania wakihoji kwa Polisi na Watawala lawama zinatupwa kwa waathirika CHADEMA kwamba wao ndo wanahusika kwasababu ya ugomvi wa kisiasa ndani ya chama au ni visasi vya kibiashara!!!Swali linakuja kama ni CHADEMA wanahusika kwanini hawakamatwi na kushtakiwa?
Wakti Chacha Wangwe alipokufa kwa ajali ya gari,habari zikaenezwa na Wanasiasa na Watawala kwamba CHADEMA ndo wanahusika na ajali maana Wangwe alikuwa akitaka kugombea Umwenyekiti wa CHADEMA..!!Kila tukio la kufa au kupotea kwa Mtz na hasa kama ni kutoka Upinzani itatengenezwa picha au maigizo ya kuchanganya raia!
Vyombo vya ulinzi na Usalama vimegeuzwa kuwa ni vyombo vya kulinda na kutetea uongo wa Wanasiasa na hivo kupoteza weledi wao wa kuhakikisha Usalama wa kila Mtz!Kwa adui yeyote mwenye nia mbaya anaweza kutumia udhaifu huu kufanya anavotaka!Kwamba sasa imefikia RAIA WA KIGENI TENA WAZUNGU AU SIJUI NI WAHINDI,WACHINA au nchi gani wamediriki kuvuka mipaka na kuingia chumbani na kufanya uhalisi na kutoka salama salmin kana kwamba nchi imelala usingizi!
Lazima tubadilike otherwise nchi iko katika hatari ya kuvamiwa na adui toka nje na ndani wakti wowote!!!
We nchi zetu bado tech ya wenzetu balaa niona juzi wanavyotumia image ku link hadi kupata passport photo ya mharifu sina uhakika kama tumefika hata robo. Kwetu nahsi wakichoka wanafunga file wenzetu hata second generation wanatoa data kama issue ni.mpya ili haki itemdekeKwa wenzetu,muundo wa gari lilotumika,rangi yake ni lead tosha kabisa,undefinedmaana gari zote za muundo huo zitaorodheshwa na wataanza kunarrowdown hadi wanapata connection
Mtu akipotea mitaani pamoja na kuripoti polisi spika misikitini hutangaza kuwa yeyote atakayemwona apeleke taarifa kituo cha polisi au msikitini nk Kupotea mtu si kitu cha kuachia polisi tu
Nimejikuta nacheka mpaka naumiza mbavu zangu, Idara ya mapambio? [emoji1] [emoji1]Ngoja idara ya mapambio ije.
Hii kauli ni tata sana maana aliitoa lakini nafikiri ilikuwa ni kutuliza, japo kwa muda mfupi, mzuka wa wananchi.Tutaendelea kumtafuta MO na kuhakikisha watanzania wanapata majibu sahihi na majibu sahihi ni kwamba MO AMEPATIKANA NA WATEKAJI WAKE WAMEKAMATWA.
Tusipende ku twist maneno ili kufurahisha watu.
True ndo alichomaanisha kuwa majibu sahihi yawe ni...amepatikana....Sio kuwa amepatakinaTutaendelea kumtafuta MO na kuhakikisha watanzania wanapata majibu sahihi na majibu sahihi ni kwamba MO AMEPATIKANA NA WATEKAJI WAKE WAMEKAMATWA.
Tusipende ku twist maneno ili kufurahisha watu.
Mtu akipotea mitaani pamoja na kuripoti polisi spika misikitini hutangaza kuwa yeyote atakayemwona apeleke taarifa kituo cha polisi au msikitini nk Kupotea mtu si kitu cha kuachia polisi tu
Mkuu siku hizi Lumumba FC inaitwa idara ya Mapambio au idara ya Mapambo kazi yao ni kushamgilia kila akisemacho mkulu.Nimejikuta nacheka mpaka naumiza mbavu zangu, Idara ya mapambio? [emoji1] [emoji1]