DAR: Mkutano Mkuu wa Jimbo la Ukonga Watangaza kumkataa Mbowe na kumuunga mkono Lissu

Unakusanya wahuni unaita press - unajidanganya mwenyewe !!
Kazi ishaishaaa!!
 
Mim sielewi kwann haoni aya maoni yaan huku mitaani kila mtu anamtaka Lissu kuna jamaa yangu mangi naona sasa amemkubali Lissu baada ya ile press ya Lema
 
Chadema ipo na balaa sio la dunia ,hii, kuna watu wameagiza mpaka mabasi ila wapi , uchaguzi wa chadema mpaka nchi zingine wanapigisha kura kwenye mitandao, chadema shida tupu
 
Unakusanya wahuni unaita press - unajidanganya mwenyewe !!
Kazi ishaishaaa!!
Kwani hao sio viongozi wa maeneo hayo?
Muhurumieni mbowe, bil 12 zake mtazimaliza akose kiinua mgongo.
Kwa sasa kachokwa na muda haupo upande wake.
Mwambieni ukweli nyie machawa wake
 
Mmesikika SAWA,lakini 21/01/2025 ndiyo fainali na si vinginevyo.
 
Mheshimiwa Mbowe hujachelewa huu ndio muda wa kutafakari na kuilinda heshima yako uliyoijenga kwa miaka 21, kwa sasa Chadema ni taasisi kubwa kuliko unavyodhani, tumia busara zilezile kama kawaida yako.
Ni kwel kabisa mkuu. Sio ile chadema ambayo alikua akisema tu chochote watu wanamtetemekea na kumuogopa.
Sasa chama kimekua ,watu hawamuangilii mtu, wanaangalia maslahi mapana.
Na hili ni onyo hata kwa Tundu Lissu mwenyewe, hawa hawa wanaokupenda leo, ukizingua kesho hawataacha kukuadhibu.
Tena lissu ndio watakuadhibu vizuri maana ni wao ndio wanataka kukuwekaa hivyo watakua na nguvu hata ya kukuondoa pindi utakapoleta zako za kuleta
 
Mungu mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…