Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

CCM hawawezi kushuhulishwa na Umoja Party maana hao umoja Party hawana wafuasi kama walivyo CCM wenyewe. Wao CCM wana Dola umoja party wana nini?
 
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Safi kabisa, nami nipo nyuma yao, waseme tu tunapataje uanachama, yote sababu mambo hayaeleweki kabisa!
 
Mazuri ya Magufuli yanafunikwa na uovu wake!

Angeruhusu watanzania kufanya siasa na vyombo vya habari kuripoti mabaya yake...watanzania wamgempiga mawe kabisa akiwa hai.

Alichokifanya kwa ujasiri mkubwa ni kuwaziba midomo wakosoaji kwa njia zote halali na haramu. Kuondoa bunge live. Kufungia vyombo vya habari. Kuteka na kuua. Kununua wapinzani kwa pesa za umma. The list is endless....
 
Mazuri ya Magufuli yanafunikwa na uovu wake!

Angeruhusu watanzania kufanya siasa na vyombo vya habari kuripoti mabaya yake...watanzania wamgempiga mawe kabisa akiwa hai.

Alichokifanya kwa ujasiri mkubwa ni kuwaziba midomo wakosoaji kwa njia zote,halali na haramu. Kuondoa bunge live. Kufungia vyombo vya habari. Kuteka na kuua. Kununua wapinzani kwa pesa za umma. The list is endless....
Watanzania majizi mapigaji na wala ndizi za watu
 
Wewe siyo mtiifu kwa ndugu yako uliyempebda?
Haiwezekani! Kutii maana yake unaendelea kupokea order kutoka sehemu na kutekeleza. Marehemu anaendeleaje kutoa order Kwa walio hai wakati hakuna mawasiliano?
 
Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Njoo Kijijini Rubambangwe nikueleweshe kwanini nilihama Jijini Mwanza na kuhamia huku ili niwe karibu na Kaburi la Mwamba Magufuli. Utaelewa tu na si ajabu na wewe utahamia huku!
 
Waje na sera zenye akili, wakithubutu kuja na sera za umagufuli watakipata kile kilichomfanya Magufuli aweke sera ya kupita bila kupingwa.
 
Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Ungetumia tu akili yako ungeweza kuelewa kuwa wanayemtii si marehemu kama ujuavyo wewe ila ni falsafa yake ambayo ndio msingi mzima wa ushindi wake kwenye chaguzi zote alizopita kwani ndio iliyoaminika zaidi kwa watanzania wengi waliokuwa wamekwisha kata tamaa na Serlikali zilizopita kabla yake. Hata uchaguzi wa 2015, Magu alipitishwa kukinusuru chama na anguko.

Watiifu ni akina nani basi, ni lile kundi la watanzania lililopata fursa mbalimbali ktk kuongoza selikali awamu ya tano baada ya JPM kuvunja ile kasumba au utamaduni uliokuwa umejengwa ndani ya chama kurithishana madaraka na kulindana, rejea baraza la mawaziri baada ya uchaguzu 2015.
 
😅😅Until the mastermind is taken by God ndio tutapata real opposition
 
Ungetumia tu akili yako ungeweza kuelewa kuwa wanayemtii si marehemu kama ujuavyo wewe ila ni falsafa yake ambayo ndio msingi mzima wa ushindi wake kwenye chaguzi zote alizopita kwani ndio iliyoaminika zaidi kwa watanzania wengi waliokuwa wamekwisha kata tamaa na selikali zilizopita kabla yake.
Hata uchaguzi wa 2015, Magu alipitishwa kukinusuru chama na anguko.
Watiifu ni akina nani basi, ni lile kundi la watanzania lililopata fulsa mbalimbali ktk kuongoza selikali awamu ya tano baada ya JPM kuvunja ile kasumba au utamaduni uliokuwa umejengwa ndani ya chama kurithishana madaraka na kulindana, rejea baraza la mawaziri baada ya uchaguzu 2015.
Wewe ni Mpumbavu!
 
Nadhani ni uwendawazimu kuamini kuwa ushindi CCM katika uchaguzi wa 2020 ni kwa sababu ya utendaji kazi wa Magu. Kama alikuwa na utendaji mzuri kulikuwa na haja gani ya kuengua wapinzani ati kwa sababu hawajui kujaza fomu vizuri, kununua wapinzani Kwa kisingizio cha kuunga juhudi, kuwabambikia kesi wale waliokataa kuunga juhudi na kujitokeza kugombea ubunge na udiwani, na wizi wa kura wa waziwazi. Katika maeneo mengine kulikuwa na vitisho na uhalifu dhidi wagonbea wa upinzani kutoka kwa watu wasiojulikana (kuwapiga, kuwakata mapanga na kuvunja miguu/mikono na hata kuwadhalilisha kinyume na maumbile).

Hakuna asiyejua kuwa CCM haijawahi kutegemea ushindi wa sanduku la kura toka upinzani uanze nchi hii. Mijini hushinda kwa nguvu ya polisi, tume ya uchaguzi pamoja na uwizi Wa kura. Vijijini hushinda kwa kutumia uelewa mdogo wa wananchi pamoja na umaskini wao plus uwizi wa kura That's it! Hutaki unaacha.
 
Nikimbuka habari za CCJ naishia kucheka tu
 
Back
Top Bottom