Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Hiyi tabia ya kuabudu mizimu ili nawakati ...ngoja ..ngoja tuone intakuwaje
 
Mkuu unamaanisha ndicho kinachoenda kutokea!!?na FDR ataingia KWA style hiyo!!?una maana uchaguzi wa 2025 haupo Hadi katiba izinduliwe 2026 ndio uchaguzi utatangazwa!!!? NASUBIRI!asante!!ina Maana yale maagizo 35 aliyopewa kinyonga ndani ya garberon room number 26 hatotimiza sio!!!?
Jifunze nn kilitokea hapo jirani. Kwa KATIBA Ile Ile Moi alitangaza kuwa hayupo wa kuingia KANU, upinzani ulitoka ndani ya chama na Serikali yake KIKAFA. Katiba wamekuja kuandikwa badaeMu
 
Hizi ni ndoto tu na maoni binafsi. Kwa kusoma vitabu na kupata maono, yaeza kuwa au isiwe. Don't take it serious.
 
Hizi ni ndoto tu na maoni binafsi. Kwa kusoma vitabu na kupata maono, yaeza kuwa au isiwe. Don't take it serious.
KINYONGA wa KIJANI na MANJANO ni chama Wala Si mtu. Hayo pia ni maono niliyoyaona zamani. Kinyonga alianguka akafa tumbo likapasuka bt mayai aliyobeba pia hayakuweza kuwa watoto sababu muda wa mayai kukomaa haukuwa umefika
 
Ushauri Umoja Party kisibebe umagufuli Bali kichukue BAADHI ambayo yanakubalika na wengi na yenye utata yaachwe.

Ili kupata wafuasi wenye hamu ya mambo mapya ni vema mkae na kubuni matakwa ya watanzania.
 
Nchi hii Ina MAHAYAWANI wengi sana. Eti "Watiifu wa Magufuli'. Yaani akina Polepole, Bashiru, Dr Slaa, Luhaga Mpina wanakuwa wanautii mzoga tulioufukia Chato?? Insane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…