Dar Mpya Media: Hatutaomba radhi habari ya Patrobas Katambi

Dar Mpya Media: Hatutaomba radhi habari ya Patrobas Katambi

Katambi zaidi ya kumtukana na kukashifu Mbowe na Chadema hakuna ajualo, hilo lilimbeba wakati wa Magufuli na
Polepole, sasa siku hizi sio turufu tena.
Amebaki kutapatapa kwenye wizara iliyo juu sana ya uwezo wake
Ni ukichaa kutegemea Katambi abuni ajira
 
Anakataa nini wakati kasema mwenyewe...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Wakishiba wao wanatuona MAJOBLOSS ni wazembe [emoji16][emoji16]
 
Kama msimamizi wa DARMPYA MEDIA LIMITED (Darmpya Blog&Tv Online) nasisitiza habari iliyoandikwa kumhusu N/W Katambi kuhusu kauli yake kwa vijana wa Tanzania ni maneno yake na hatuwezi kuomba radhi kwa sababu hatujakosea,Ushauri: asipoteze muda kutishia Media hii
John Marwa
20220117_192121.jpg
 
Kauli ya awali ya DarMedia LTD ilikuwa hii hapa walichapisha hivi;

""Naibu Waziri anayehusika na maswala ya kazi na ajira Patrobas Katambi amelaumu kitendo cha vijana wa kitanzania kuwa walalamishi kuhusu ukosefu wa ajira huku akisema vijana wengi wanatakiwa kubadilika na kuwa na mtazamo chanya kuhusu ajira na waache kuchagua sana kazi za kufanya""
 
Kipi kibaya akichoongea???? DarMpya wameandika kizandiki tu, ila ameongea vizuri sana. Ss WaTZ tunatumika vibaya sana na wanasiasa. Hali kama hii imepelekea mpaka mtu asiye na elimu awe kiongozi wa chama kitaifa kisa tu chama cha Mkwewe. Msikilize vizuri kisha rudi kwenye Darmpya (CHADEMA) walivyaiandika.

Acha kuihusisha CHADEMA na ujinga wenu. Kila siku mnataka kuihusisha CHADEMA na Mambo ya kijinga. Issue Ni dar mpya na katambi wewe unaisema CHADEMA.
 
Kama Ni Hivyo Basi Na Wasimamie (Dar Mpya Media) Wanachokiamini !!
 
Uandishi wa kusifiasifia tu nao ni uzandiki, uandishi una angle nyingi, still angle zote ni kweli tupu.
 
Back
Top Bottom