Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni

Mradi ukiazishwa kipindi nchi inakaribia uchaguzi ogopa sana
 
Utawala wa awamu ta tano ulijenga chuki kati ya Matajiri na Masikini. Tajiri mwenye hela zake alikuwa akikomolewa au kuharibiwa Mali, Masikini wa Tanzania anashangilia. Mfano huu mradi Ulivyo simamishwa, Wananchi walifurahi eti acha wakomolewe. Akili za kimasikini. Mbongo hawezi kukupigia makofu ukifanikiwa au kufanya vizuri. Wanaokupigia makofi ni wale walokaa na watu wa mataifa mengine. Hata mabosi ukifanya vizuri hawawezi kukusifia.
 
Mradi huu hautumii pesa ya serikali unatumia pesa za NSSF za waajiriwa ambao hawawezi kuhoji kwa sababu wamesinzia.
 
Mradi huu hautumii pesa ya serikali unatumia pesa za NSSF za waajiriwa ambao hawawezi kuhoji kwa sababu wamesinzia.
 
Mradi huu hautumii pesa ya serikali unatumia pesa za NSSF za waajiriwa ambao hawawezi kuhoji kwa sababu wamesinzia.
 
Tajiri gani aliharibiwa mali?
 
Kwan kikwete na tibaijuka ndio walousitisha au utawala uliofata ndo uliditisha?
Sitaki kumhusisha Kikwete na huu mradi. Ila Kuna watu wake walifanya ndivyo sivyo, bwana Iqbal kupitia kampuni yake ya azimio alifanya lobbying na NSSF na kuwauzia ekari moja hapo kwa mil 800, ikiwa thamani ya ekari hapo kwa wakati huo ilikuwa mil 40.

Haya yaliwekwa wazi kwenye report ya CAG 2015. Lengo lilikuwa zuri Ila ungekamilika vipi na trillion 1.3 ya NSSF ingerudije ikiwa watu waliinflate gharama kiasi hiko?
 
Diaspora angeongea tu kiswahili.

Amandla...
 
Wanapoteza michango yetu ya NSSF, halafu wanabadilisha kikokotoo ili kupunguza mafao kufunika mashimo.
 
Ameongea na wahusika ili kufahamu kama kweli umekuwa-abandoned?
 
Magufuli alikuwa mpumbavu, hafai kuishi Dunia hii, aendelee kuoza tu huko aliko. Kwa hiyo yeye kujenga International Airport Kijiji I kwake aliona ndiyo akili?

Haijalishi mradi ni WA Ridhiwani au Jesca au Rostam Aziz, cha msingi tunachoangalia ni mchango wa mradi kwenye uchumi. Hivi New York au Milan hata London unadhani zingejengeka kwa akili ya kipimbi kama ya huyu shetani wa Chato?
 
Mradi huu hautumii pesa ya serikali unatumia pesa za NSSF za waajiriwa ambao hawawezi kuhoji kwa sababu wamesinzia.
Sasa ukiusimamisha wakati kuna fedha imeshatumika ndiyo unapata nini? Siyo ndiyo hasara mara mbili??
 
Duuu! Huyu jamaa raia wa nchi gani
Telekezwa anasema tekelezwa
Muamar anasema muamad

Mnada wa kimataifa NSSF, Serikali na auctioneer wamefanya kiwango cha chini.

Ilitakiwa watoe fedha ndefu kwa madalali wa kimataifa wenye weledi wa lugha za kimataifa za Kiingereza, Kispanyola, Kiarabu n.k bila kusahau platform kibao za lugha hizo na majarida ya kimataifa.

Lakini mtindo waliotumia kunadi mradi huo ni sisi kwa sisi ndiyo tumeufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…