Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Ukichukulia kuwa makosa yanayofanywa na watwala wetu yanayotokana na tabia zao za ndani zilivyo ni uhujumu uchumi, basi inabidi viongozi wote wanaotawala dunia hadi kufikia leo hii tarehe 21/05/2022 tuwanyan'anye madaraka na tuwapekele jela.Ndio kisingizio cha kuharibu? Huu ni uhujumu Uchumi
Baada ya hapo, inabidi tutafute namna ya kufanya mawasiliano ya simu na Mungu huko mbinguni ili atushushie malaika waje watawale hapa duniani