Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni

Ni akili za kipumbaf pia kushangilia miradi kama hii inayotumia pesa za wananchi kujenga nyumba ambazo asilimia kubwa ya watanzania hawawezi kuzimudu kuzinunua, kuna wakati Rais wa awamu ya 5 aliwaeleza viongozi wa haya mashirika kuwa, kwanini wasiwekeze pia hata kwenye miradi mingine kama ya viwanda n.k ili kuwasaidia watz wenye hali duni? au kujenga nyumba za gharama nafuu hasa kwa miji mikubwa kama Dar ili kuwarahisishia watanzania maisha?
Miradi mingi mizuri nchini huwabagua wasiokuwa nacho na ndiomana Jpm alilipambana kuondoa matabaka na wala sio kuwakandamiza matajiri.
Labda uwataje hapa matajiri waliofilisiwa mali zao kwa chuki bila kuhusika kwenye kashfa za wizi na ukwepaji kodi.
Na pesa za hii mifuko ya hifadhi ni pesa za watu( walipa kodi ) walipozidai baada ya kustafu waliambulia usumbufu mkubwa kwakuwa pesa zao zimeelekezwa kwenye miradi kam hii,wewe unaona ni sawa.
Tuache kutetea mambo ya hovyo ili Taifa lisonge mbele.
 
Mafao ya wanachama wa nssf walikwenda kuyatupa kule. Inasikitisha sana..
 

Kama jinsi wanavyoililia bandari ya Bagamoyo; na jinsi alivyomkalia hiuyu mama mambo yao yatatimia tu pengine Mungu aingilie kati!!!
 
Karne ya 21 bado tunakuwa na mijinga km hii
 
Dah, wachawi bwana!!
 
Jiwe lilikuwa na roho ya Kimaskini Sana.
Jiwe anahusikaje. Mradi ulikuwa wa upigaji. NSSF waliingizwa mkenge. Wajanja walipewa ardhi ya bure, na NSSF ikatoa pesa. Wenye ardhi na wabia wakuu waliyokuwa na hisa 85% hawakuwa na pesa yoyote. NSSF wenye 15% ndiyo watoa pesa ya mradi. Upigaji huu uliposhtukiwa na NSSF hao wenye mradi wakawa hawana pa kwenda na ghawana hata sifa za kuchukuwa mkopo. Huu mradi kwanza ulitegemea kuwavuta Watanzania wa diaspora kununua nyumba huko, lakini bei ikawa prohibitive na peasa zilizoombwa zingeweza kujenga nyumba nzuri na kubwa kuliko zile za mfumo wa apartment.-
 
Kama jinsi wanavyoililia bandari ya Bagamoyo; na jinsi alivyomkalia hiuyu mama mambo yao yatatimia tu pengine Mungu aingilie kati!!!
Kweli kabisa na imekuwa hivyo kwa sababu jamaa aliingia deni na China wakati kilaza wake anakamatwa na makontena ya unga. Ili asinyongwe akapewa masharti ya kijinga na kuliingiza taifa letu kwenye hasara kama hii. Kwa jeuri wakaleta wawekezaji wao wa kuuza kashata na kahawa pale Kariakoo na wachoma mahindi pale Mnazi Mmoja. Jamaa walikuwa wanaonekana kama wajinga kumbe ni makomando wa Kichina, waliletwa na serikali yao kuja kutuonyesha watanzania kwamba kuna maisha hapa hapa Tanzania si mpaka uuze unga kama Ridhiwani na Jacky alikuwa anawadanganya watanzania kuwa yeye ni model kumbe mavi tu ya Macau.
 
Karne ya 21 bado tunakuwa na mijinga km hii
Ridhiwani, hapa JF si kila mtu ni mjinga kama udhaniavyo....watu wamewachoka na michongo yenu ya kisenge. Hata huko serikalini watu wanacheka tu nawe ila usidhani kama wako nawe.
 
Mradi upo benebene na home, hebu fufueni aisee vijana wapate ajira
 
Regime change ndio sababu kuu.Wengi mnasahahau Kigamboni City.Mradi wa Dege Eco Village ulikua mwanzo wa Kigamboni City lakini mabadiliko ya 2015 yalimleta bwana Lukuvi kama waziri wa Ardhi na Nyumba kwake migogoro ndio ilikuwa kipaumbele na hapo tukaanza kusikia kauli tofauti za kigamboni City mara ikaja ya kuhamia Dodoma.Mifuko ya jamii ikabalishiwa sera na maono.Kuna jengo la Mzizima Tower posta amini usiamini jengo hili alipoingia JPM alivyolikuta ndivyo alivyoliacha angalau kuanzia mwaka Jana tunaona umaliziaji japo ni wa kuchechemea.Hivyo miradi ya NSSF haikufifia eti kuna ufisadi au sababu tofauti Bali ni safari ya Dodoma na kuuawa kwa mradi wa kigamboni City.
 
huyo alikuwa mpumbavu tu kama wewe
 
Kikwete na familia yake, kwani bado hujajuwa tu?
Sijajua maana tumeambiwa ni gofu kama makosa yalishafanyika ni bora serikali ingechukua ela za Covid ikakamilisha mradi alafu Zikikodishwa NSSF wawe na kazi yakujenga madarasa kwa kodi zitakazopatikana the project is too big to leave it as it is.
 
Ridhiwani wacha ujinga.....huu mradi unakunufaisha wewe na ukoo wako, it has nothing to do na nchi hii wala wananchi wake. Nyinyi mnaifilisi hii nchi kwa wizi wenu hata kama wewe ungekuwa Magufuli ungefanya hivyo hivyo alivyofanya yeye.
Mimi siyo Ridhiwani, usiwape watu majina ya uwongo ili kujenga hoja yako. Ule mradi hata ungekuwa wa kwako wewe Mkereketwa_Huyu bado una thamani kubwa kwa uchumi wa Nchi. Hii ni kutokana na kodi zitakazolipwa, ajira zitakazo tengenezewa na huduma mbalimbali.

Kuusimamisha usikamilike ilikuwa ni UWENDAWAZIMU
 
Ridhiwani, hapa JF si kila mtu ni mjinga kama udhaniavyo....watu wamewachoka na michongo yenu ya kisenge. Hata huko serikalini watu wanacheka tu nawe ila usidhani kama wako nawe.

Baba yake ndio anamtayarisha nae aje atawale kama Hussein Mwinyi na ndio maana amewarudisha Kinana na Nchimbi kufanikisha mipango yake humo ccm!! Mfuatilieni huyu Emmanuel Nchimbi huko CCM kwenye Uchaguzi anafuata nini na yeye hana cheo?
 
Ulisimamishwa ili utaifishwe na serikali ila ukazuka mgogoro kati ya familia ya mze wa kubembea Jamaika na mwenda zake.
 
Huko mbali sana, nilikataa kiwanja 400sqm kiko 26 km toka Ferry eneo la mnazi mdogo kwa 3Million mwàka jana
 
Jiwe lilikuwa na roho ya Kimaskini Sana.
Hapana hayati JPM hakuwa hivyo kama unavyodhani wewe. Hayati JPM alikuwa ana sifa mbili kubwa na ambazo mara zote zilikuwa zikimgharimu sana

MOJA: Kubwa kabisa kuzidi yote alikuwa hajui kama upo pia ushauri ambao anaweza akapewa mtu (mshauriwa) na mtu mwingine anayemwaini sana ( mshauri) kwa makusudi ya kumhujumu KISIASA (mshauriwa). Hilo halikuwepo kabisa kichwani mwa Hayati JPM; na ndiyo maana kuna watu hadi walifikia hatua ya kuleta kampuni hewa za kununua korosho na baada ya kampuni kuyeyuka hata hakufanikiwa kubaini ni nini kilikuwa kinaendelea

PILI: Alikuwa hana moyo ule wa KISIASA, alikuwa na moyo kama wa mtu mwingine wa kawaida tu na ambaye si mwanasisa kama nilivyo mimi hapa. Kutokana na hali hiyo ku-deal na watu ambao ni wanasiasa perce ilikuwa inampa shida kodogo
 
Ndio kisingizio cha kuharibu? Huu ni uhujumu Uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…