Ukichukulia kuwa makosa yanayofanywa na watwala wetu yanayotokana na tabia zao za ndani zilivyo ni uhujumu uchumi, basi inabidi viongozi wote wanaotawala dunia hadi kufikia leo hii tarehe 21/05/2022 tuwanyan'anye madaraka na tuwapekele jela.
Baada ya hapo, inabidi tutafute namna ya kufanya mawasiliano ya simu na Mungu huko mbinguni ili atushushie malaika waje watawale hapa duniani