Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
EATV walivyo toa habari hii nikaona comment ya Veronica france akisema anamsema vibaya Mjomba ndo maana yanampata hayoMsanii mwenye msimamo na asiyeyumba Ney wa Mitego amepata ajali ya boda boda wakati akiwahi kwenye kipindi cha Friday night live cha EA TV , amelazwa hospitali ya Kairuki
Tutafanya uchunguzi huru kujua kama ni hujuma au ni ajali ya kawaida
Augue pole na apone haraka msema ukweliMsanii Emmanuel Eribariki Munis (Nay wa Mitego), amepata ajali ya bodaboda wakati anawahi kwenye Interview.
Kwa sasa msanii huyo yupo katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni akipatiwa matibabu na hali yake bado haiko vizuri.
Inaelezwa alipanda bodaboda ili kuwahi kipindi baada kukwama kwenye foleni akiwa na gari yake.
View attachment 1800835
Acha tufanye uchunguzi huru , kama Ney ni wa kiwango unachotaka tuamini , kwanini Magufuli aliagiza akamatwe Morogoro ?Hujuma Kwa Ney?Kuwa serious basi