Dar: Msanii Nay wa Mitego amepata ajali ya bodaboda

Dar: Msanii Nay wa Mitego amepata ajali ya bodaboda

Bahati inaoneka ahueni ipo! Hawa wenye majina makubwa, ikibidi wawe na escort tu za wajomba kuepuka boda zisizo na usalama hata punje.

Kuna bingwa mmoja alijaribu kupanda boda, hata mita 500 hakumaliza, akapigiwa simu na insurer wake kuwa, tafadhali shuka kwenye hicho ulichopanda, tuko tayari kukufata na kukupeleka popote kwa gharama zetu...jamaa ana bima ya maisha, waliogopa kulipa pesa mingi jamaa akila mkeka.

Polee Nay.
Daa hizi level ntafikia tuu simu sio mingi.
 
Boda boda ni janga la kitaifa....vijana wanatumia vilevi huku wanaendesha na wenye mamlaka baada ya kuwadhibiti wamewafanya kitega uchumi.......ugua pole msanii....
 
Madereva wa boadaboda sijui wanakula nini, asilimia kubwa waluwalu hasa vijana ila wazee na watu wa makamo wanatulia sana barabarani.

Ugua pole Nay.
Ukipakiwa usikubali ama kunyamaza unapona boda dereva anaendesha ovyo,mzuiee mapema

Ila unapotumia boda inaweza tokea ajali ikasababishwa na mtu mwingine mkafatwa
Nyie,kumbuka boda boda ...body miili yetu

Ova
 
Mbona hali ya dereva wa bodaboda haisemwi.? Au hiyo bodaboda haikuwa na dereva au dereva alikuwa yeye mwenyewe Ney Wa Mitego.?

Au ndo yale yale ya 'watu 10 wamepata ajali na msambaa mmoja'
Tukipata taarifa zake tutaziweka hapa , tunasubiri Ney azinduke atusimulie
 
Tukipata taarifa zake tutaziweka hapa , tunasubiri Ney azinduke atusimulie
Huu ni ubaguzi mkubwa, ukiwa na pesa/status lazima watu wakuogope na wanakuona mungu. Huyo dereva angekufa na Ney angepona bc hakuna angeyejua kama ajali ilitokea
 
Stupidity of the highest class!Ney ahujumiwe nini?Na nani?Pole sana Ney kwa ajali Mungu akupe tahfif.
 
Hujuma ?
Duh Conspiracies naona zimekuwa order of the day.....
Crying Wolf kila wakati siku Wolf akija kweli tutajikuta hatuamini...

Anyway pole kwa Mtanzania Mwenzetu kwa kupata Ajali
 
Pole sana usirudie kurisk maisha yako kwa kuogopa gharama
 
Kutokana na uhaba wa ajira kwa vijana, vijana wengi huendesha bodaboda kama njia ya kupata riziki bila kuwa na mafunzo ya kueleweka hasa katika sheria za barabarani. Serikali iliangalie hili swala, linatupotezea sana nguvu kazi.

Get well soon kamanda Ney.
 
Ushaambiwa tuko kazini tunachunguza si utulie basi ! halafu hilo kosa alilofanya Morogoro ni lipi , hivi unajua ana mgogoro na Basata baada ya wimbo wake mzuri kuzuiwa kwenda hewani , kwanini tusitilie mashaka ?
Mbona huwa nakuona una akili kidogo ya kuishi lakini unaanza kuipoteza hiyo uliyonayo kwa sababu ya kuwa mpinzani wa kila kitu? Umeandikiw comment hii na uzi huu au umeandika mwenyewe?Kuna ajali ngapi zimetokea jana umezichunguza?Go back to your thinking level and stop being a keyboard warrior!
 
Mbona huwa nakuona una akili kidogo ya kuishi lakini unaanza kuipoteza hiyo uliyonayo kwa sababu ya kuwa mpinzani wa kila kitu?Umeandikiw comment hii na uzi huu au umeandika mwenyewe?Kuna ajali ngapi zimetokea jana umezichunguza?Go back to your thinking level and stop being a keyboard warrior!
Hujui siasa za Tanzania wewe , tulia .
 
Back
Top Bottom