Dar: Msanii Nay wa Mitego amepata ajali ya bodaboda

Wewe umetoa taarifa kwamba alipanda bodaboda baada ya kukwama kwenye foleni akiwa na gari yake. Halafu hapo chini bado tena unajiuliza maswali Wewe mwenyewe, tukueleweje?

Halafu ajali sio bodaboda tu, hata ukipanda ndege inaweza kukukuta.
 
Sasa hiyo gari ameacha kwenye foleni ikiisha itabaki hapo hapo au kamuachia mtu mwingine arudi nayo home tu ?
 
Huenda ni Kiki mana hawa wasanii ni wasanii kweli kweli , alafu Yale magari yake yako wapi? Au tuamini kauli ya shamsha Ford kwamba jamaa hata pa kulala hana
 
Binafsi naona kwa ajali ya bodaboda ambapo mwili wa binadamu ndiyo body lake na hana michubuko usoni wala bandeji kichwani inawezekana akawahi kupona.

Minus p.o.p kokote so pretty well kupona kupo.
 
Aisee Kuna dogo mmoja nampata alikuwa Yuko Safi tu mwili nyumba Ila boda boda imefanya awe mlemavu

Kavunjika mikono na mguu Yuko homu tu
 
Kwa jinsi wasanii wanavyorogana si ajabu ajali hii ikahusishwa na uchawi
 
Kuendesha Bodaboda hata uwe mstaarabu vipi kuna vitu utafanya kama bodaboda wengine.

Najua kama umewahi kuendesha pikipiki yoyote unakumbuka ujinga ambao umewahi kufanya. Pikipiki zina raha yake ambayo huvuruga ubongo unaanza kujiamini hata sehemu zisizofaa.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…