UPDATES *Mawasiliano kati ya Tegeta na Kunduchi yamekatika baada ya daraja la Kunduchi-Mtongani kukatika. Magari, nyumba na mali za raia zimesombwa na maji. Nguzo za umeme zimeanguka na baadhi ya raia wamefariki. Tatizo watu wamejenga karibu na mto kwa kupewa vibali na maofisa ardhi wa Serikali.
*Hadi sasa mvua inaendelea kunyesha baadhi ya maeneo hapa Dar. Serikali itoe tahadhari kwa wananchi na ichukue hatua kukabiliana na mafuriko.
*Serikali inaendelea kufanya tathmini ya uharibifu na hasara iliyojitokeza. Madhara ya mafuriko haya mpaka sasa ni kama unavyoyasikia kutoka kwenye rekodi hapo chini iliyoripotiwa na Radio One Stereo. Katika rekodi hii utamsikia mwananchi akilalamika kupoteza Tsh 5,000,000 ambazo zote zimesombwa na mafuriko. Hakufanikiwa kuokoa hata shilingi moja.
* Nyumba 7, magari na mali za wananchi zimesombwa na maji, mtu mmoja amefariki na madaraja kadhaa yamevunjika na kukata mawasiliano ya barabara.
*Raia mmoja ameokota gari lillilosombwa na mafuriko lakini watu wenye roho mbaya wamemzuia kulichukua.
Your browser is not able to display this video.
*Wakandarasi wanaendelea kuzibua barabara zilizozibwa na maji, mawe na magogo ili kurejesha mawasiliano.
Nitaendelea kuwapa updates na picha kadri nitakavyozipata.........
Kuna nabii alitabiri, Dar kufikia mwezi Mei mwaka huu, itafunikwa na maji, kwamba kuna Tsunami itaipiga Dar.
Huenda hizi mvua ni maonyo ya mwisho. Watu wa Mungu watamuuliza Mungu ukweli wa unabii huu. Ila walio wengi waliposikia unabii huo, walimdhihaki mtoa unabii.
Biblia inasema "msiutweze unabii, bali zipimeni roho kama zimetokana na Mungu au la!
Kuna nabii alitabiri,Dar kufikia mwezi Mei mwaka huu,itafunikwa na maji,kwamba kuna Tsunami itaipiga Dar.
Huenda hizi mvua ni maonyo ya mwisho.Watu wa Mungu watamuuliza Mungu ukweli wa unabii huu.Ila walio wengi waliposikia unabii huo,walimdhihaki mtoa unabii.
Biblia inasema "msiutweze unabii,bali zipimeni roho kama zimetokana na Mungu au la!

Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha mahali hapa sijapata kuona. Haki tabgu nicakiwe sijawahi kushuhusia mvua nyingi kiasi hiki.
Srtikali ijiandae kukabiliana adhali za mafuriko zitakazsababishwa na mafuriko haya. Kadri muda unavyoenda inazidi kuongezeka
Mara ya mwisho mvua iliponyesha ilibgoa madaraja na kuua watu watatu. Safari hii tujiandae kwa maafa zaidi.
Tuambie mahali ulipo hali ikoje na nini tutarsjie baada ya mvua hii.