Mvua baraka. Shida ni wahusika kuendekeza ANASA MATUMBO YAO NA UROHO WA HELA ZA UMMA. Kwa mvua inayonyesha Tanzania ni kiasi kidogo sana. Kama wahusika wangekuwa wanawajibika sidhani kama ingetuathiri kiasi hiki!
ChukuwaChakoMapema waache ubinafsi, mbona tutapata maendeleo wakiacha WIZI!
Niko Bunju, inaporomoka, ka radi hapa na pale. Waliojenga kwenye viwanja rasmi wako poa, kazi wale wa kwenye squatters!
Daraja la kutenganisha Bagamoyo na Dar liko poa.
Ila haya maji yangevunwa yangetufaa sana wakati wa kiangazi!
Ila tutadai hela hatuna! Ila za sherehe, V8, masafari, posho, na ujinga gani sijuwi hatuelewi huwa zinapatikana kivipi?!