Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

Tulisema kuanzia mwanzo kabisa baada ya kulazimisha ushindi,kwamba kwa Magufuli huyu na chama chake,genge la maharamia linaenda kuweka mizizi.

Watanzania wakati tukiendelea kupiga kelele wengine walisema haya ni ya wapinzani hayatuhusu,vyombo vya habari vikaandamwa tukasema Mimi sio mwandishi....hali hii imeendelea kumgusa kila mwananchi...

Solution: Tukatae kwa pamoja hususan tusionufaika na genge hili la Maharamia,tuitumie falsafa ya nguvu na mamlaka yanatokana na umma.

Tukichelewa JPM atazidi kujiimarisha na kumuondoa itakuwa ngumu na itatigharimu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nawaona hao Keyboard Warriors wakiongozwa na Mlibwende Maria Sarungi huko Twitter wanavyopaza sauti huku wakiwa ndani ya Hotel za Gharama wamejifungia. Hao ndio twitter activists wanaamini harakati zao nyuma ya keyboard zitaleta impact kubwa. Tukijaribu kuwaambia tuingie barabarani hawataki kabisa
 
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kuwa wadanganyika tumeshachukuliwa kama makondoo tunaoweza kufanyiwa uovu kama huu na tukashindwa kuchukua hatua yoyote kwa umoja wetu.

Isitoshe, bado kuna wenzetu ambao wanaamini haya wao hayawahusu na kwamba wanaokumbwa na haya ni kutokana na wao kujifanya wajuaji,kuwa na viherere,n.k.

Iko siku watafanya mabaya zaidi ya haya tena hadharani.

Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe kwa kukosa umoja.

Mtoto umleavyo,.........(malizia mwenyewe).
 
Kutekana tena kwa wale wanaoandika usiyoyapenda wewe ni ushamba na upumbavu. Haya mambo ya kijima sana
 
Shida ni kwamba mzee baba hakemei chochote ndio maana tunaona Ni anawatuma
 
walishajulikana semeni katekwa na polisi,tusiwaendekeze hawa,wananchi tuchukue hatua
Inauma sana ukondoo umezidi nimeona polisi wanakamata jamaa analalamika hajui anakopelekwa mutu inafuatakama maiti.itapendeza tukionesha ukali
 
Back
Top Bottom