mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Logic.Kama ccm haifai kiongoza Kwa hiyo magufuli hafai.
Siyo mimi Ni somo LA logic mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Logic.Kama ccm haifai kiongoza Kwa hiyo magufuli hafai.
Siyo mimi Ni somo LA logic mkuu
TUNAPASWA KUFANYA JAMBO 'kelele nyingi nyuma ya keyboad hazisaidii' wanatuona malofa sana
ondoa shaka wanaccm hawatekwi .Hii Christmas siielewe elewi hakika....... !
Mzee makamba anamwita yohana mbatizaji anayebatiza kwa motoCha ajabu Jiwe huwa anaenda nyumba za ibada na kushauri aombewe..
Inauma sana ukondoo umezidi nimeona polisi wanakamata jamaa analalamika hajui anakopelekwa mutu inafuatakama maiti.itapendeza tukionesha ukali
Waandishi Tunashukuru kwa kutupatia taarifa siku zote,lakini kuna baadhi ya taarifa mnazitoa kwa Mihemuko mikubwa sana, unapotoa taarifa ukihusisha serikali na utekaji unakuwa uko sahihi kweli? au unatoa taarifa ukihusisha na jambo lililopita huo ndio ushahidi kweli? Tatizo kubwa ni waandishi Mmejihusisha sana na siasa ndio maana makala zenu inakuwa ngumu Kuzichukulia maanani, umewahi kujiuliza serikali iteke raia wake kwa sababu zipi wakati huo inaweza Kumuita au Kumkamata raia yeyote kama kafanya kosa? tunaweza kuwa na aina mpya ya ugaidi au uharamia nchini ,badala ya kujadili swala hili kwa kina kwa nini linatokea hili swala mara kwa mara , kwa nini wakati huu, nini madhara yake kijamii na kiuchumi ,serikali ifanye nini, sisi Tunakimbilia kusema ni fulani au serikali, gues work will not take us any where, tujadili suala hili kwa kina bila kuvaa koti la uanaharakati au Wanasiasa.
So unaona umeandika sana? Kwamba watu unawaona wana IQ ya kuku sio? Probably you could justify why people are being abducted ungeeleweka, and not this nonsense.
Achana na watekaji.Huyo kwenye picha ndi wewe?Waliomteka yule kaka wa haki za binadamu ndo wamemteka na uyu, kwaiyo wanajulikana mi nadhani
How long shall it take for our brothers and sisters get killed while we stand aside and look????View attachment 1301448
Ikiwa ni siku 4 tangu Afisa Programu na Elimu kwa Umma wa LHRC, Tito Magoti ‘atekwe’ na wasiojulikana, kuna taarifa kuwa mwandishi Bollen Ngeti naye ametekwa na wasiojulikana leo maeneo ya Msasani, Dar
POLISI: HATUNA TAARIFA UTEKWAJI WA MWANDISHI.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kupitia kamanda Mussa Taibu limesema halina taarifa za kutekwa kwa mwandishi wa habari nchini Tanzania, Bollen Ngeti, ambaye inadaiwa kuwa ametekwa leo na watu wasiojulikana eneo la Msasani, DSM.
Zaidi soma:
Dar: Mwandishi wa habari Bollen Ngetti akamatwa na Polisi, apelekwa Sitakishari
Mwandishi wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti, Bollen Ngetti, amekamatwa jioni hii na askari 3, na kupelekwa kituo cha Polisi Stakshari. Ijumaa, Bollen Ngeti alihamishiwa katika kituo cha Polisi Buguruni, Dar es Salaam akituhumiwa kumtukana mke wake. Bollen anasemekana kuwa na Diploma ya...www.jamiiforums.com
Bollen Ngetti: Utawala wa Rais Magufuli na hatima ya CCM
TUMEFIKA mahali ambapo tuweke kando itikadi ya vyama, dini na ubaguzi mwingine wowote tujadili na kutafakari kwa pamoja hatima ya nchi yetu na watu wake! Jamii inayojadiliana masuala ya Taifa ndiyo inaitwa jamii hai. Kinyume na hapo hiyo ni jamii mfu! Tunahitaji watu wa kada zote kujitokeza...www.jamiiforums.com
Bollen Ngetti CCM maarufu kwa kuikosoa Serikali na chama chake mitandaoni anusurika kifo baada ya gari lake kugongwa na gari lililokuwa likiwafuatilia
Bollen Ngetti ambaye Ni mwana CCM maarufu kwa kuikosoa serikali na chama chake mitandaoni amenusulika kifo baada ya gari lake kugongwa na gari iliyokuwa ikiwafatilia na kutokomea kusikojulikana!www.jamiiforums.com
Bollen Ngetti: Dk. Bashiru, Membe si size yako, kaa kimya
SHIKAMOO Mwalimu Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM. Nina hakika una afya njema hapa Lumumba ukiwa juu ya kiti chako cheusi cha kuzunguka zunguka ukipitia mafaeli mbalimbali ya kiutendaji. Naomba umuagize Esther akuletee juisi baridi sana kama haujafunga ukae kwa utulivu mkubwa kusoma waraka huu...www.jamiiforums.com
mara zote huwa wanasema hawana habari baada ya siku mbili tatu wanasema tumemshikilia.Waliomteka yule kaka wa haki za binadamu ndo wamemteka na uyu, kwaiyo wanajulikana mi nadhani
Go to hell may be will help!How long shall it take for our brothers and sisters get killed while we stand aside and look????
The bald-headed hypocites shall one day pay this blood.
Kweli kama iyo ya Tito magoti kuna kamanda anasema anataarifa😃😃mara zote huwa wanasema hawana habari baada ya siku mbili tatu wanasema tumemshikilia.