Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

Mamlaka ya shetani yakiingia katika Taifa, mambo mengi yanakuwa ya kishetani.
 
Mwanzoni unaweza sema hawa watu wanaoteka wakosoaji wa Magu ilikuwa kujihami na popularity yake.

Miaka 4 ya kazi aliyofanya Magufuli aitaji tena propaganda za kipuuzi kama za Musiba na njaa wengine as a product raisi anajiuza mwenyewe kutokana na results za ajabu ndani ya muda mfupi.

Given the national financial resources ukilinganisha na nchi zingine za Africa ambazo zinamapato zaidi ya Tanzania na strong GDP, lazima maraisi wa nchi zingine wanajiuliza how does he do it.

Museveni tu ukiangalia Facebook account yake unaona ameanza kuiga style ya Magufuli ya uongozi, media za mabeberu zimeacha kumsema kwenye maswala ya maendeleo na chances are kama ikifanyika survey ya raisi bora wa Africa leo Magu anaweza shinda kabisa.

Kizuri chajiuza chenyewe sidhani kama Magu anahitaji tena hizi distraction za kishamba watanzania washamuelewa raisi wao ni kiongozi wa aina gani.
 
Nilijua baada ya mchungaji kula utumbuzi wasiojulikana walienda likizo
 
Roving Journalist,
Hebu acheni kututisha na kutuweka roho juu.
Wakati Mo Dewji amefungua kesi ya kutekwa Polisi..., Kituo cha haki za binadamu wamefungua kesi dhidi ya kamanda Mambosasa cha ajabu sio kwa kosa la utekaji bali kumzuia lupango Tito Magoti bila kumpeleka mahakamani.
Kumbe kisheria watu hawa hawajatekwa ila huku Kwenye social media mnatulisha Matango pori na kutujaza sumu eti wametekwa.

Tuache kupotoshana makusudi, ni vema tuwe wakweli ili tuweze kuaddress matatizo ya ukweli ambayo kimsingi yapo makubwa tu, nasio kudanganyana eti Katekwa.
Watu wote tunajua namna Polisi wanakamata watuhumiwa ikiwemo kutumia nguvu ikibidi kulingana na mazingira, pia huenda mbali kwa kutesa watuhumiwa na wengine hupata ulemavu na hata kufa.

Wanavunja sheria na kanuni nyingi lakini kama tutaacha kusema ukweli badala yake tunaleta kosa lusilokuwepo haisaidii.

Jamaa mmoja humu amesema huwezi kuibiwa kitochi 4g smart halafu ukatangaza umeibiwa iPhone 11 pro. Watu hawatokuelewa.

Kama mtu katekwa halafu anapatikana kituoni Polisi basi tuwashitaki polisi kwa utekaji.
 
Yana Mwisho haya,Its their time waache watese watu,kipindi chao kikipita watajutia upuuzi waliokuwa wanafanya,najua kwa sasa ni "mayalla aka njaa" inawasumbua.
 
Cha ajabu Jiwe huwa anaenda nyumba za ibada na kushauri aombewe..
Mkuu Kwani siku hizi Kuna makanisa au Kuna majengo ya kupigia Mapambio na kutaftia wapenzi tu.. Makanisa ya leo hata uwe na Dhambi ya kuua watu 10 kwa saa Wala huwezi ukapatwa na kitu chochote.

Kwakweli utukufu kwenye Makanisa ya kileo umepungua kwa Kasi Sana ani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa wanaopiga kelele ni wanaharakati tu, Watanzania wengine kimyaaaa[emoji31][emoji31][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji31] inaumiza sana hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wo shi niubi,

Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara. Hapo unaona umetoa utetezi wa kutupoteza maboya ile mbaya. Juzi na jana kamanda Mambosasa anasema Tito Magoti anashikiliwa na jeshi la polisi na leo atazungumza na vyombo vya habari. Kisha leo hii hii polisi inasema haijui Tito Magoti alipo, na ww unakuja na maelezo yasiyo na kichwa wala miguu kama vile una hoja ya maana kumbe tope tupu.
 
1954,

Acha utoto dogo, mtu amekamatwa leo ana siku zaidi ya tatu hapelekwi mahakamani wala ndugu zake hawajui yuko kituo gani. Kwanini ahojiwe bila kuwa na mwanasheria wake? Unapotetea uhayawani kisha ukajifanya una busara unajidharaulisha.
 
Back
Top Bottom