Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

wacha wewe hujasema kitu. muulize Baba Levo, keshasema hatupo levo moja
Ukweli mchungu Baba levo yuko sahihi ni ukweli Nairobi wako juu na ndio maana mpaka wawikilishi wa mashirika mengi makubwa na mabalozi wanaowakilisha nchi za E.A wanaishi Nairobi. Dar es salaam ina uzuri wake ila kwa miji hii miwili mikubwa kama ni league basi Nairobi wako juu wanaongoza kwa league hili wala sio la kubaishana hapa ni ukweli 100%.
 
Ngoja nikuambie kitu Naiboi kuwa mji mzuri sio kitu kibaya wala Nairobi kuendelea sio kitu kibaya ila tatizo ni kwamba baadhi ya wakenya kama nyie kuona Dar es salaam sio kitu wakati kuna vitu vingi vya kisasa Dar zipo lakini Nairobi hamna.kwa kifupi hatujapishana Sana.
Kwanza dar ni kubwa mara mbili kieneo dhidi ya nairobi
 
Hawa watanzania shida yao inakuanga nini lakini? Sasa mtu anauliza kama Nairobi has a bridge like Tanzanite. Anataka tujenge bridge over Nairobi river? ama hile pond ya Uhuru Park?
Hapana yule mwingine sio kwamba hajui ukweli ila alikuwa ananogesha kipindi tu sio serious ni kipindi kilete msisimko watu wanapenda kusikiliza ubashiana kama wa Simba na Yanga lakini hakuwa serious anajuwa Nairobi wametangulia sana tu sio kidogo.
 
Ngoja nikuambie kitu Naiboi kuwa mji mzuri sio kitu kibaya wala Nairobi kuendelea sio kitu kibaya ila tatizo ni kwamba baadhi ya wakenya kama nyie kuona Dar es salaam sio kitu wakati kuna vitu vingi vya kisasa Dar zipo lakini Nairobi hamna.kwa kifupi hatujapishana Sana.
Na mji wenu kukua na hivyo vitu haimaanishi sasa iko juu ya Nairobi., mna vitu zenye maybe Morocco ama Algeria hawana sasa wewe kama Mtanzania ni hizi fikra zenu utafikiria sasa mko juu yao, kisa BRT, bridge etc.., kwa kweli mko hovyo kimawazo
 
Kawaida ya mtanzania akiwa kwako lazima akusifie ili umkarimu na aondoke salama, lakini ukweli akigeuka ukiwa haupo ndio atasema mabaya yako sasa, mlitaka aseme mnanjaa ili iweje
Jamaa kasifia Nairobi akiwa nyumbani Dar., 😂😂😂😂😂., hii point yako ni zero tayari.wasafi fm studio haipo Nairobi., alikua anasimulia wenzake aliyo yashuhudia., amewaumiza sana huyu Levo.., nenda mkanyonge sio mzalendo yeye😂😂😂😂😂.,
 
Cbd ya dar ni kubwa kuliko ya nairobi
CBD ya Dar ni ndogo sana.., ukubwa wa Dar ni idadi ya watu na udongo ambao umejazwa na uswazi kila sehemu., Yana makazi duni.., developed area ama "city centre" kama anavyo sema Levo, nyie bado sana, nimeimba haya humu sana, sasa amekuja mmoja wenu kukubaliana na kauli yangu.., pia mmarekani, sabbatical ali tii 😂😂😂😂,
 
wacha wewe hujasema kitu. muulize Baba Levo, keshasema hatupo levo moja
Na Kuna dada pale kaongezea kwa kukubali sisi sio wenzao kabisa😂😂😂😂😂., Waende watulie na akina Kinshasa na Lagos kuleee., miji mikubwa hovyo😂😂😂.,
 
Ngoja nikuambie kitu Naiboi kuwa mji mzuri sio kitu kibaya wala Nairobi kuendelea sio kitu kibaya ila tatizo ni kwamba baadhi ya wakenya kama nyie kuona Dar es salaam sio kitu wakati kuna vitu vingi vya kisasa Dar zipo lakini Nairobi hamna.kwa kifupi hatujapishana Sana.
Nimeudharau Dar kivipi? 🤣🤣 Acha inferiority complex.
 
Weka criterias ili kuupa nguvu madai yako.mi ninauhakika kuna mambo mengi tumewapita na kuna mambo mnatupita.usiwe mwanasiasa weka facts.
Nimepost maoni ya Mtanzania mwenzako. Tazama video umsikize ama muandikie kwa social media akuelezee.
 
The fact that Kenyans are busy opening these kinds of threads kila wakati ni dhahiri sasa they are not confident enough with their shitty slumy tiny town ,
Dar has been built from the Scratch by 100% Tanzanians. and it has been transformed in just 20years ,
Na sasa it is under construction with huge potentials.
 
Back
Top Bottom