#COVID19 Dar: NIMR Mabibo, kuna msururu wa watu wamejaa kununua dawa ya Corona (NIMRCAF)

Kuna watumwa wa Fikra wako radhi wakapimwe Mafua kwa kuchomekwa vijiti Makalioni kuliko kutunia dawa hizi kwa kuwa tu zimetengenezwa na Mswahili mwenzao
Mkuu si tumeshaambwa korona imeisha sasa kwanini watu watumie hizo dawa wakati korona haipo?
 
Walioenda kwa njia za panya kudungwa chanjo ndio wameleta japo kwa kiwango cha chini sana kinachohimilika
Mkuu si tumeshaambwa korona imeisha sasa kwanini watu watumie hizo dawa wakati korona haipo?
 
Wakuu Salaam,

Kutokana na Wimbi la Pili la Corona, Wananchi Wameanza kuchukua Tahadhari wenyewe kwa hiari yao sababu wanajua kujali afya na jukumu la mtu mwenyewe kulingana na anavyojipenda. Hivyo wananchi wameanza kufanya kazoezi, Kuvaa Vitambaa vinavyofunika Pua na Mdomo ikiwemo kufuata mwongozo wa Wizara ya afya kuhusu Corona aka UVIKO bila kuambiwa na Serikali, Hii leo asubuhi Watu wameanza kumwagika Katika Ofisi za NIMR Mabibo Dar Es Salaam kwa msururu mrefu ili kununua dawa ya corona ambayo NIMR ilidai imetengeneza.

Serikali ya Tanzania kupitia Naibu Waziri wa afya Dk Mollel imesema Ugonjwa wa Corona haujafika Nchini na ukifika Wananchi watatangaziwa. Japo hivi karibuni rais Magufuli alisikika akisema kuna Watu walienda nje ya nchi kupata chanjo ya Corona Matokeo yake wakaja na Corona ya Ajabu. akinukuliwa na BBC, alisikika akisema "Kuna Watanzania walienda nje kupata chanjo badala yake wakatuletea corona ya ajabu ajabu".

Hivi karibuni Kitengo Cha Tiba Asili Cha Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR), tayari wamefanikiwa kutoa dawa ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO).

Dawa ya virusi vya corona iliyopewa jina la NIMRCAF inayotengenezwa na taasisi hiyo, imeonesha mafanikio waliyoyapata kwa kipindi kifupi kwa sababu dawa hiyo imeonyesha uwezo mkubwa kudhibiti virusi vya corona.

Dawa ya NIMRCAF ambayo ndiyo inazalishwa kwa wingi kwa Sasa ilifanyiwa utafiti muda mrefu kabla ya ugonjwa wa corona kuibuka ambapo walichanganya mimea lishe aina mbalimbali. Dawa hii imetengenezwa kwa kutumia mchanganyiko wa vyakula kama pilipili kichaa, tangawizi, limao na kitunguu saumu, asali na maji kwa baadhi tu.

Kawaida wa dawa hiyo anayeitumia kama kinga anaweza kuitumia kwa siku nane lakini kwa anayeitumia kwa ajili ya kutibu anatakiwa atumie kwa siku tano kulingana na maelekezo atakayepewa na wataalam wa afya. Mtumiaji wa kawaida wa dawa hiyo anayeitumia kama kinga anaweza kuitumia kwa siku nane lakini kwa anayeitumia kwa ajili ya kutibu anatakiwa atumie kwa siku tano kulingana na maelekezo atakayepewa na wataalam wa afya.

Tayari dawa hiyo imesambazwa jijini Dar es Salaam na imekuwa na mahitaji makubwa. Dawa hiyo inatibu dalili za ugonjwa wa Corona na imeleta mafanikio ndani ya jamii kwakuwa Ina uwezo wa kuondoa kwa haraka dalili za ugonjwa huo.

MKURUGENZI wa Kitengo Cha Tiba Asili Cha Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa yya Binadamu (NIMR), Dk.justine Omolo wakati anaelezea kuhusu dawa hiyo, alisema:

Dawa hiyo inasaidia kumpa nafuu mgonjwa wa corona, kwa kutibu dalili zinazotokana na ugonjwa huo.

Alisema dawa hiyo inasaidia kumpa nafuu mgonjwa wa corona, kwa kutibu dalili zinazotokana na ugonjwa huo.

Alisema dawa hiyo chupa moja inauzwa Sh.10,000 ambapo awali walikuwa wanatengeneza chupa 1,000 na kuzisamnaza katika Hospitali mbalimbali.

“Awali tulikuwa tunasambaza chupa 120 hadi 200 kwa siku na kuanzia wiki hii wataanza kusalisha chupa 5,000 kwa siku ili kukidhi mahitaji ya jamii.

“Mwanzo tulikuwa tukitengeneza chupa 1,000 na tumekuwa tukisambaza hospitali kwa wagonjwa kwa siku chupa 120 hadi 200, lakini sasa mahitaji yamekuwa makubwa na imeonyesha matokeo mazuri kwa wagonjwa,” alisema Omolo.

Aliwataka wa Tanzania kutumia dawa lishe hiyo kama kinga hasa katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Omolo alisema Nimcaf ina vitamini C na K, na kitaalamu mchanganyiko unaopatikana katika tiba lishe hiyo unaitwa ‘Polyphenols ambao Ina uwezo mkubwa wa kuzuia damu kuganda ambapo mgonjwa anayeitumia hupata nafuu ndani ya nusu saa.

MY TAKE:

Mlaaniwe wote mnaosema kwa madaha eti hii dawa ya NIMR ni chachandu.
View attachment 1688871
Hiyo dawa ni chachandu ya kulia kiepe,lumumba kumejaa wasomi wajinga tu...mshirika wenu kimaendeleo kawaletea chanjo nzuri sana itawapandeza sana,mitano tenaa
IMG_20210129_093501.jpeg
 
Kweli mkuu , naona mmeamua kuuza chachandu .
Erythrocyte ndiyo maana nakwambia kuwa 99.9% ya watanzania ni wapumbavu! siyo wajinga maana mjinga akielimishwa anabadilika.

Upuuzi hu ni Tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji , pilipili kichaa na limao... jitu linaamini kuwa concoction hiyo itaua virus..... Mvurugano huu unaweza kutengeneza hata nyumbani kwako , yanakimbia kugongwa bei eti ni dawa.

Tunayanywa from time immemorial na mafua yetu haya (virus hawa ni jamii moja na virus wa mafua), na mafua bado yapo mpaka leo. That much simple kuua virus! Kama ni hivyo unadhani Kenya hawajasikia upuuzi huo? Rwanda? Burundi? South Africa which is hardly hit? Unadhani hawajajaribu? wamejaribu wameona ni upuuzi!

Stories kama hizi za kitapeli za herbal remedies zilikuja hata wakati wa HIV inaanza.
 
2393187_20200508_170418.jpg
 
Wakuu Salaam,

Kutokana na Wimbi la Pili la Corona, Wananchi Wameanza kuchukua Tahadhari wenyewe kwa hiari yao sababu wanajua kujali afya na jukumu la mtu mwenyewe kulingana na anavyojipenda. Hivyo wananchi wameanza kufanya kazoezi, Kuvaa Vitambaa vinavyofunika Pua na Mdomo ikiwemo kufuata mwongozo wa Wizara ya afya kuhusu Corona aka UVIKO bila kuambiwa na Serikali, Hii leo asubuhi Watu wameanza kumwagika Katika Ofisi za NIMR Mabibo Dar Es Salaam kwa msururu mrefu ili kununua dawa ya corona ambayo NIMR ilidai imetengeneza.

Serikali ya Tanzania kupitia Naibu Waziri wa afya Dk Mollel imesema Ugonjwa wa Corona haujafika Nchini na ukifika Wananchi watatangaziwa. Japo hivi karibuni rais Magufuli alisikika akisema kuna Watu walienda nje ya nchi kupata chanjo ya Corona Matokeo yake wakaja na Corona ya Ajabu. akinukuliwa na BBC, alisikika akisema "Kuna Watanzania walienda nje kupata chanjo badala yake wakatuletea corona ya ajabu ajabu".

Hivi karibuni Kitengo Cha Tiba Asili Cha Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR), tayari wamefanikiwa kutoa dawa ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO).

Dawa ya virusi vya corona iliyopewa jina la NIMRCAF inayotengenezwa na taasisi hiyo, imeonesha mafanikio waliyoyapata kwa kipindi kifupi kwa sababu dawa hiyo imeonyesha uwezo mkubwa kudhibiti virusi vya corona.

Dawa ya NIMRCAF ambayo ndiyo inazalishwa kwa wingi kwa Sasa ilifanyiwa utafiti muda mrefu kabla ya ugonjwa wa corona kuibuka ambapo walichanganya mimea lishe aina mbalimbali. Dawa hii imetengenezwa kwa kutumia mchanganyiko wa vyakula kama pilipili kichaa, tangawizi, limao na kitunguu saumu, asali na maji kwa baadhi tu.

Kawaida wa dawa hiyo anayeitumia kama kinga anaweza kuitumia kwa siku nane lakini kwa anayeitumia kwa ajili ya kutibu anatakiwa atumie kwa siku tano kulingana na maelekezo atakayepewa na wataalam wa afya. Mtumiaji wa kawaida wa dawa hiyo anayeitumia kama kinga anaweza kuitumia kwa siku nane lakini kwa anayeitumia kwa ajili ya kutibu anatakiwa atumie kwa siku tano kulingana na maelekezo atakayepewa na wataalam wa afya.

Tayari dawa hiyo imesambazwa jijini Dar es Salaam na imekuwa na mahitaji makubwa. Dawa hiyo inatibu dalili za ugonjwa wa Corona na imeleta mafanikio ndani ya jamii kwakuwa Ina uwezo wa kuondoa kwa haraka dalili za ugonjwa huo.

MKURUGENZI wa Kitengo Cha Tiba Asili Cha Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa yya Binadamu (NIMR), Dk.justine Omolo wakati anaelezea kuhusu dawa hiyo, alisema:

Dawa hiyo inasaidia kumpa nafuu mgonjwa wa corona, kwa kutibu dalili zinazotokana na ugonjwa huo.

Alisema dawa hiyo inasaidia kumpa nafuu mgonjwa wa corona, kwa kutibu dalili zinazotokana na ugonjwa huo.

Alisema dawa hiyo chupa moja inauzwa Sh.10,000 ambapo awali walikuwa wanatengeneza chupa 1,000 na kuzisamnaza katika Hospitali mbalimbali.

Alisema dawa hiyo chupa moja inauzwa Sh.10,000 ambapo awali walikuwa wanatengeneza chupa 1,000 na kuzisamnaza katika Hospitali mbalimbali.

“Awali tulikuwa tunasambaza chupa 120 hadi 200 kwa siku na kuanzia wiki hii wataanza kusalisha chupa 5,000 kwa siku ili kukidhi mahitaji ya jamii.

“Awali tulikuwa tunasambaza chupa 120 hadi 200 kwa siku na kuanzia wiki hii wataanza kusalisha chupa 5,000 kwa siku ili kukidhi mahitaji ya jamii.

“Mwanzo tulikuwa tukitengeneza chupa 1,000 na tumekuwa tukisambaza hospitali kwa wagonjwa kwa siku chupa 120 hadi 200, lakini sasa mahitaji yamekuwa makubwa na imeonyesha matokeo mazuri kwa wagonjwa,” alisema Omolo.

Aliwataka wa Tanzania kutumia dawa lishe hiyo kama kinga hasa katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Omolo alisema Nimcaf ina vitamini C na K, na kitaalamu mchanganyiko unaopatikana katika tiba lishe hiyo unaitwa ‘Polyphenols ambao Ina uwezo mkubwa wa kuzuia damu kuganda ambapo mgonjwa anayeitumia hupata nafuu ndani ya nusu saa.

MY TAKE:

Mlaaniwe wote mnaosema kwa madaha eti hii dawa ya NIMR ni chachandu.
View attachment 1688871
Weka picha tuone huo msululu wengine tupo mbali
 
Kuna ukweli katika hili watu wameagiza sana hizo dawa. Dakika chache zilizopita kuna l ofisi nilikuwa nimeona wanagawana chupa sita za dawa hii. Aliyeleta alilalamika na inaonekana ameenda mapema.
 
Nanukuu: "Serikali ya Tanzania kupitia naibu Waziri wa afya Dk Mollel imesema Ugonjwa wa Corona haujafika Nchini na ukifika Wananchi watatangaziwa"
Dr. Omolo kasema NIMRCAF dawa ya korona imeonesha uwezo mkubwa wa kupambana na virus vya korona kwa wagonjwa!
Dr. Mollel anasema ugonjwa haujafika!
Sasa ni wagonjwa wa nchi gani waliopewa hiyo dawa na imewasaidia?
 
Back
Top Bottom