#COVID19 Dar: NIMR Mabibo, kuna msururu wa watu wamejaa kununua dawa ya Corona (NIMRCAF)

#COVID19 Dar: NIMR Mabibo, kuna msururu wa watu wamejaa kununua dawa ya Corona (NIMRCAF)

NIMRI WANAUZA CHACHANDU ZAO KWA BEI KUBWA SANA. CHACHANDU ZA MTAANI NI TSH 2500- 3500 WAO WANAUZA TSH 10,000? 😳
 
Sasa kama hakuna CORONA kwa nini Serikali kupitia NIMR wanauza dawa hiyo?
 
Mungu hadhihakiwi.....atawapiga hao wana siasa wa matamko
 
Tiba lishe sio dawa ya kutibu ugojwa,lakini inasaidia kumpa nafuu mgojwa kwa kutuliza dalili zinazoambatana na ugonjwa huo.
 
Back
Top Bottom