#COVID19 Dar: NIMR Mabibo, kuna msururu wa watu wamejaa kununua dawa ya Corona (NIMRCAF)

Kuna watumwa wa Fikra wako radhi wakapimwe Mafua kwa kuchomekwa vijiti Makalioni kuliko kutunia dawa hizi kwa kuwa tu zimetengenezwa na Mswahili mwenzao
Mkuu si tumeshaambwa korona imeisha sasa kwanini watu watumie hizo dawa wakati korona haipo?
 
Walioenda kwa njia za panya kudungwa chanjo ndio wameleta japo kwa kiwango cha chini sana kinachohimilika
Mkuu si tumeshaambwa korona imeisha sasa kwanini watu watumie hizo dawa wakati korona haipo?
 
Bila picha bila video tunaaminije watu wamejaa?
 
Hiyo dawa ni chachandu ya kulia kiepe,lumumba kumejaa wasomi wajinga tu...mshirika wenu kimaendeleo kawaletea chanjo nzuri sana itawapandeza sana,mitano tenaa
 
Alitoa fomula yake, sema wabongo hatutaki shida
 
Kweli mkuu , naona mmeamua kuuza chachandu .
Erythrocyte ndiyo maana nakwambia kuwa 99.9% ya watanzania ni wapumbavu! siyo wajinga maana mjinga akielimishwa anabadilika.

Upuuzi hu ni Tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji , pilipili kichaa na limao... jitu linaamini kuwa concoction hiyo itaua virus..... Mvurugano huu unaweza kutengeneza hata nyumbani kwako , yanakimbia kugongwa bei eti ni dawa.

Tunayanywa from time immemorial na mafua yetu haya (virus hawa ni jamii moja na virus wa mafua), na mafua bado yapo mpaka leo. That much simple kuua virus! Kama ni hivyo unadhani Kenya hawajasikia upuuzi huo? Rwanda? Burundi? South Africa which is hardly hit? Unadhani hawajajaribu? wamejaribu wameona ni upuuzi!

Stories kama hizi za kitapeli za herbal remedies zilikuja hata wakati wa HIV inaanza.
 
 
Weka picha tuone huo msululu wengine tupo mbali
 
Kuna ukweli katika hili watu wameagiza sana hizo dawa. Dakika chache zilizopita kuna l ofisi nilikuwa nimeona wanagawana chupa sita za dawa hii. Aliyeleta alilalamika na inaonekana ameenda mapema.
 
Nanukuu: "Serikali ya Tanzania kupitia naibu Waziri wa afya Dk Mollel imesema Ugonjwa wa Corona haujafika Nchini na ukifika Wananchi watatangaziwa"
Dr. Omolo kasema NIMRCAF dawa ya korona imeonesha uwezo mkubwa wa kupambana na virus vya korona kwa wagonjwa!
Dr. Mollel anasema ugonjwa haujafika!
Sasa ni wagonjwa wa nchi gani waliopewa hiyo dawa na imewasaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…