#COVID19 Dar: NIMR Mabibo, kuna msururu wa watu wamejaa kununua dawa ya Corona (NIMRCAF)

Hata Madagascar walijitapa kugundua dawa ya korona, lakini sote tunakumbuka namna walivyokuja kupukutika muda mfupi baadae...
 
Lipia Tangazo.

Mbona haujaonyesha picha ya mmiminiko wa watu kuelekea Mabibo NIMR badala yake umeonyesha chupa ya NIMRCAF wakati hiyo haikuwa mada ya huu uzi.

Wewe sema tu unapigia chapuo NIMRCAF basi
 
Pholyphenols - furusadi.
Kwa wale wanaokaa Mwenge Africa Sana, miti iko kando ya barabara mkono wa kushoto kuelekea maghorofa ya TRA.
 
Dawa ya nini sasa?

Corona hamna Tanzania, ipo kidogo, waliokimbilia chanjo wametuletea corona ya ajabu, tuendelee kuchukua tahadhari. (Jpm 2021)
 
Tunatumia dawa ya ugonjwa usiokuwepo?? Au ni namna hadaa ya kukiri ugonjwa upo?

Tuache kumdhihaki Mungu!
 
Viongozi wanaouza dawa ya Korona wakati serikali haijathibitisha, wachikuliwe hatua kwa kuwatapeli wananchi.
 
Sasa kama ni chachandu wahindi wanapateje corona.
 
Nilimdharau huyu Dr. Mollel tangu siku ile alipoomba Rais wetu kipenzi apewe Corona.
Your browser is not able to display this video.
 
Loliondo phase II
 
Hii dawa kwa watu ambao wanamatatizio ya vidonda vya tumbo, unaweza tumika kwao? (Wenye peptic ulcers au deunenomal ulcers)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…